Meneja wa taasisi ya VILLAGE OF HOPE pre and primary school anawatangazia nafasi za ajira kwa watanzania wote wenye sifa.. nafazi zinazotangazwa ni nafasi ya mwalimu mkuu wa shule na waalimu wa elimmu maalumu
1. awe na elimu ngazi ya shahada ya elimu au yeyote ile ila awe alishawahi kufanya kazi ya elimu
au ukuu wa shule..
2. awe anajua sykolojia ya watoto ili kubaini matatizo yao kwa haraka \
3. awe ananguvu za kuongoza jopo la vijana na pia awe kidogo mzoefu kwenye mambo ya uongozi
4. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika nafasi anayoomba
2. awe anajua kutumia zana za masikizi maono, maono tu au masikizi tu kwa tajiriba ya hali ya juu ili kusaidia ufundishaji makini kwa wanafunzi wote
3. awe anajua sykolojia ya watoto walemavu ili kubaini matatizo yao kwa wepesi
4. mwenye huruma, anayejali walemavu na anayejua kusalia na kuwaongoza watoto kiroho
5. awe mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 45
6. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwa wahitimu wa shahada za fani nyingine
KWA YEYOTE MWENYE KUKIDHI VIGEZO TAJWA HAPO JUU, TUMA BARUA YAKO YA MAOMBI MAPEMA KABLA YA TAREHE 7 MWENZI WA TATU 2017 KUPITIA ANUANI IFUATAYO :-
VILLAGE OF HOPE PRIMARY SCHOOL MWANZA
P.O.B OX 732
MWANZA.
AU TUMA BARUA YAKO KWA BARUA PEPE Jkenyamanyara@vohaAfrica.com
SHULE HII IPO MWANZA, NA INATOA MISHAHARA MIZURI ... TUNAWAKARIBISHA NYOOTE . KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU+255753904378
kwa nafsi ya ualimu mkuu muombajia anastahili kuwa na sifa zifuatazo :-
1. awe na elimu ngazi ya shahada ya elimu au yeyote ile ila awe alishawahi kufanya kazi ya elimu
au ukuu wa shule..
2. awe anajua sykolojia ya watoto ili kubaini matatizo yao kwa haraka \
3. awe ananguvu za kuongoza jopo la vijana na pia awe kidogo mzoefu kwenye mambo ya uongozi
4. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika nafasi anayoomba
kwa nafasi ya ualimu elimu maalumu muombaji anatakiwa awe na vigezo vifuatavyo :-
1. awe mhitimu wa shahada ya elimu maalumu au fani yeyote ila awe alishawahi kufanya kazi inayohusiana na elimu maalumu msingi2. awe anajua kutumia zana za masikizi maono, maono tu au masikizi tu kwa tajiriba ya hali ya juu ili kusaidia ufundishaji makini kwa wanafunzi wote
3. awe anajua sykolojia ya watoto walemavu ili kubaini matatizo yao kwa wepesi
4. mwenye huruma, anayejali walemavu na anayejua kusalia na kuwaongoza watoto kiroho
5. awe mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 45
6. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwa wahitimu wa shahada za fani nyingine
KWA YEYOTE MWENYE KUKIDHI VIGEZO TAJWA HAPO JUU, TUMA BARUA YAKO YA MAOMBI MAPEMA KABLA YA TAREHE 7 MWENZI WA TATU 2017 KUPITIA ANUANI IFUATAYO :-
VILLAGE OF HOPE PRIMARY SCHOOL MWANZA
P.O.B OX 732
MWANZA.
AU TUMA BARUA YAKO KWA BARUA PEPE Jkenyamanyara@vohaAfrica.com
SHULE HII IPO MWANZA, NA INATOA MISHAHARA MIZURI ... TUNAWAKARIBISHA NYOOTE . KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU