other blog

Jumapili, 10 Septemba 2017

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

KWA WALE WA MAKAMBAKO FANYA FASTA MAANA MDA UMEISHA TANGAZO LA KAZI HALMSHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO ...


NYINGINE HIZI HAPA NAFASI KIBAO ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO .... OMBA SASA MDA BADO UPO ... KWA USALAMA ZAIDI TUMIA EMS POSTING SERVICE



eaglefm.blogger

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA

KILWA.. JE UNAPENDA KUFANYA KAZI KILWA ... NA UMESOMA ,,, NAFASI ZA  KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA HIZI HAPA...


NAFASI KIBAO YAANI KIBAO KWELI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

NAFASI KIBAO ZA AJIRA 62 HIZI HAPA KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA ...MSICHELEWE WADAU KUOMBA NAFASI HIZI



NAFASI KIBAO ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA HUJACHELEWA TUMA MAOMBI YAKO SASA



eaglefm.blogger

NAFAS ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI

HIZI HAPA AJIRA KIBAO  HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI OMBA SASA

Jumamosi, 19 Agosti 2017

nafasi za kazi halmshauri ya jiji la mwanza kwa mheshiiiwa sana jon mongela ,,,,by wasonga mrombo

nafazi  kibao  za  ajira  halmashauri  ya  jiji  la  mwanza  mtyendaji  mtaaa....  waunza  kumbu kumbu na masekretari ... usiogope  kuomba  huwezai jua  bahati  yako  iko  wapi  .... kwa  usalama  zaidi   tumia  njia  ya  ems yaani  barua  za  haraka  ....kitabu  ch a michael  brasio  mwanafunzi  wa  hombolo  degreee  sasa  kitakusaidia  kushinda  intreview  kwa  wepesi  wasiliana  na mim,,  kimkarioerasmig




mauil.com  au  0753533359

ajira halmashauri ya wilaya ya siha killimanjaro ...by wasonga mrombo

hizi  hapa  nafasi  kibao  za  ajira  halmashauri  ya  wilaya  ya  siha , moshi  killimanjaro ....wa  hombolo  mnapewa  kipau mbele   usichoke  kuomba   kw a ushauri  zaidi  wasiliana na  mimi  0753533359

TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA MJI W KOROGWE TANGA ....... by wasonga mrombo

mkrugenzi  mtendaji  wa  halmshauri  ya  mji  wa  korogwe  anatangaza  nafazi  za  ajira   kwa  watanzania  wenye  sifa  .....  unashauriwa   kutumia  ems  kwa  usalama  zaidi  wa  maombi  yako




nafasi za kazi halmashauri ya manispaa ya ilala kwa mheshimiw paul makonda ... by wasonga mrombo 0753533359

nafasi nyingine  za kazi  halmashauri ya manispaa  ya  ilala   daresalaam  kwa  mheshimiwa  sana paul  makonda   hizi  hapa ...   unahsauria  kutuma  maombi yako  kwa  njia  ya  ems ... express  mail  servirces  kwa usalama  zaidi








Jumatano, 16 Agosti 2017

ajira mpya halmashauri ya wilaya ya shinyanga

hizi hapa ajira kibao halmashauri ya  wilaya ya shinyanga  wanangu sana wa hombo  wanapewa kipaumbele  usiache kuomba 

Jumamosi, 5 Agosti 2017

TANGAZO LA NAFASI ZA KASI HALMASHAURI YA WILAYA MAGU MWANZA

Fungua link hii kusoma nfasi kibao za  ajira halimashauri ya wilaya ya magu mwanza kwa  wote mliosoma sheria, utawala, utumishi , rasilimali  watu , katibu mustasi na nyinginezo...nyingi tangazo la ajira wilaya ya magu

Jumanne, 1 Agosti 2017

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI KWA MHESHIMIWA MAKONDA

tangazo la kazi halmashauri ya manispaa ya kinondoni nafasi kibao fungua link hiyo  hapo  kusoma  nafasi  za  karibu  40  halmashauri ya manispaa ya kinondoni  usikose kusoma  wanangu wa  homboloo  wakati  ni wenu wa  kujidai 

BAADA YA SHOW ME KUTOKA KWA HARMONIZE NYINGINE HII HAPA

WASONGA TENA BONGOFLEVA BEAT LISTEN AND COMENT TO DEVELOP OUR TALENTS BEAT  SAFI NA  BORA  KABISA  KUTOKA  KWA  WSONGA  MROMBO   PRODUCER  UNDERGROUND  SIKILIZA BEAT  KWA  BIASHARA AU USHAURI AU ISSUE  YEYOTE  NICHEKI FACEBOOK AS WASONGAMROMBO  PIA  NITEXT  AU WHATSUP NUMBER +255753533359

ENEKA BEAT AND INSTRUMENTAL

WASONGA ENEKA BEAT FROM DIAMOND PLATNUMZ PRODUCED BY WASONGA UNDERGROUND PRODUCER  DOWNLOAD  BEAT HIYO HAPO NA  INSTRUMENTAL YA  WINBO  WA  BONGOFLEVA  KUTOKA  KWA  PRODUCER  MDOGO  WASONGA 

HARMOIZE SHOW ME BEAT / INSTRUMENTAL

HAMONIZE SHOW ME REMAKEBY WASONGA  FOR  UNDERGROUND  AND  OTHER DJ  INAWEZA  KUWA  NZURI  SANA  SHOW  ME  REMAKE  BY  WASONGA  MROMBO  UNDERGROUND  PRODUCER

Jumatano, 12 Julai 2017

bit maaalumu kwa wasanii chipukizi ...kutoka kwa producer wasonga idownload hapa bitt ya wasonga na producer wasonga mrombo  nipo kwa ajili ya watu na kuwasaidia chipukizi kama we ni msanii usisite  kunitafuta facebook natumia jina la wasongamrombodjs na kupitia barua pepe kimarioerasmi@gmail.com au 0753533359

Jumanne, 9 Mei 2017

wimbo mpya kutotka kwa mamelody ft darasa

anaitwa job fire wa melody zaman mamelody classic ..anaimba kama barnaba ..no barnaba anaimba kama yeye ..anaishi jiji jipya la killimanjaro na ni moshi ...pakua ngoma yake hii hapa mamelody sound job fire na usisahau kutoa maoni yako hapa ... nami sitasita kuipa kisogo ndani ya eaglefm ....braaaaaaaaaaa,,
eaglefm.blogger