DOWNLOAD VIDEO: Harmonize - Happy Birthday https://goo.gl/happy birth day
other blog
Alhamisi, 4 Mei 2017
Alhamisi, 13 Aprili 2017
Diamond platnumz remix sikai kimya by engine from moshi peak record
https://my.notjustok.com/track/download/id/204138/by/SpKt7fIVXC
Jumatatu, 27 Februari 2017
NAFASI ZA AJIRA TAASISI YA MATUMAINI YA KIJIJI SHULE YA MSINGI NA AWALI ILIYOPO MWANZA.
Meneja wa taasisi ya VILLAGE OF HOPE pre and primary school anawatangazia nafasi za ajira kwa watanzania wote wenye sifa.. nafazi zinazotangazwa ni nafasi ya mwalimu mkuu wa shule na waalimu wa elimmu maalumu
1. awe na elimu ngazi ya shahada ya elimu au yeyote ile ila awe alishawahi kufanya kazi ya elimu
au ukuu wa shule..
2. awe anajua sykolojia ya watoto ili kubaini matatizo yao kwa haraka \
3. awe ananguvu za kuongoza jopo la vijana na pia awe kidogo mzoefu kwenye mambo ya uongozi
4. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika nafasi anayoomba
2. awe anajua kutumia zana za masikizi maono, maono tu au masikizi tu kwa tajiriba ya hali ya juu ili kusaidia ufundishaji makini kwa wanafunzi wote
3. awe anajua sykolojia ya watoto walemavu ili kubaini matatizo yao kwa wepesi
4. mwenye huruma, anayejali walemavu na anayejua kusalia na kuwaongoza watoto kiroho
5. awe mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 45
6. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwa wahitimu wa shahada za fani nyingine
KWA YEYOTE MWENYE KUKIDHI VIGEZO TAJWA HAPO JUU, TUMA BARUA YAKO YA MAOMBI MAPEMA KABLA YA TAREHE 7 MWENZI WA TATU 2017 KUPITIA ANUANI IFUATAYO :-
VILLAGE OF HOPE PRIMARY SCHOOL MWANZA
P.O.B OX 732
MWANZA.
AU TUMA BARUA YAKO KWA BARUA PEPE Jkenyamanyara@vohaAfrica.com
SHULE HII IPO MWANZA, NA INATOA MISHAHARA MIZURI ... TUNAWAKARIBISHA NYOOTE . KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU+255753904378
kwa nafsi ya ualimu mkuu muombajia anastahili kuwa na sifa zifuatazo :-
1. awe na elimu ngazi ya shahada ya elimu au yeyote ile ila awe alishawahi kufanya kazi ya elimu
au ukuu wa shule..
2. awe anajua sykolojia ya watoto ili kubaini matatizo yao kwa haraka \
3. awe ananguvu za kuongoza jopo la vijana na pia awe kidogo mzoefu kwenye mambo ya uongozi
4. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika nafasi anayoomba
kwa nafasi ya ualimu elimu maalumu muombaji anatakiwa awe na vigezo vifuatavyo :-
1. awe mhitimu wa shahada ya elimu maalumu au fani yeyote ila awe alishawahi kufanya kazi inayohusiana na elimu maalumu msingi2. awe anajua kutumia zana za masikizi maono, maono tu au masikizi tu kwa tajiriba ya hali ya juu ili kusaidia ufundishaji makini kwa wanafunzi wote
3. awe anajua sykolojia ya watoto walemavu ili kubaini matatizo yao kwa wepesi
4. mwenye huruma, anayejali walemavu na anayejua kusalia na kuwaongoza watoto kiroho
5. awe mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 45
6. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwa wahitimu wa shahada za fani nyingine
KWA YEYOTE MWENYE KUKIDHI VIGEZO TAJWA HAPO JUU, TUMA BARUA YAKO YA MAOMBI MAPEMA KABLA YA TAREHE 7 MWENZI WA TATU 2017 KUPITIA ANUANI IFUATAYO :-
VILLAGE OF HOPE PRIMARY SCHOOL MWANZA
P.O.B OX 732
MWANZA.
AU TUMA BARUA YAKO KWA BARUA PEPE Jkenyamanyara@vohaAfrica.com
SHULE HII IPO MWANZA, NA INATOA MISHAHARA MIZURI ... TUNAWAKARIBISHA NYOOTE . KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
AJIRA SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI { TANGAZO JIPYA} SHULE YA MERIT DARESAALAM
Mkurugrnzi mtendaji wa shule ya msingi MERIT anayo furaha kukaribisha maombi ya kazi kwa wahitimu wa vyuo mbalimbali na vyuo vya ualimu pia na waalimu ... MERIT ni shule ambayo inasifika kwa utoaji wa elimu thabithi na yenye ushindani tanzania... nafasi zinazotangazwa ni pamoja na UALIMU NGAZI YA CHEKECHEA NA UALIMU WA MSINGI KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI SABA ... muombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo :-
1.AWE NA CHETI AU DIPLOMA YA UALIMU KUTOKA CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIKA
2. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 25 -45
3. AKIWA MGENI WA KENYA AU UGANDA BASI AWE NA VIBALI VYOTE VINAVYOMWEZESHA KUISHI HAPA NCHINI
4.AWE NA ANGALAU UZOEFU WOWOTE WA ELIMU NA JINSI YA KUWALEA WATOTO KIMAADILI
mwenye sifa tajwa hapo juu anaombwa kutuma maombi kupitia anuani ifuatayo .... mwisho wa kupokea maombi tarehe 5 mwezi wa tatu 2017
SCHOOL PRINCIPAL
MERIT SCHOOL OF TANZANIA
P.O.BOX 652011
DAR-ES-SALAAM.
AU KWA BARUA PEPE IFUATAYO meritschool@gmail.com
AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ... AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.
AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ... AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.
Jumapili, 19 Februari 2017
shule za private zabainika nyingi kuwa ni za freemasons pamoja na shule na vyuo binafsi vinavyomilikiwa na kanisa katoliki pamoja lutheran ....monterssori wengi mnaifahamu kwa madhari mazuri. wazai kuweni makini
Basi ndugu msomaji wa eaglefm leo nimejaribu kukupekulia kuhusu ufrimasoni tanzania dini iliyotaribiwa kuja kuongoza dunia miaka elfu moja ambapo atashuka mtu mmoja kwa jina la messia dajal shetani mwenye jicho moja tu na pembe mbili.. shetani huyu atashuka na watu wote watapaswa kumwabudu pasipo kupinga kwani ukikiuka amri basi utaaga dunia, basi nikueleze machache jinsi hali itakavyokuwa bibilia imeweka wazi kabisa katika kurasa za ufunuo wa yahani na kwenye kurani pia limeelezwa vizuri atakuja mtu huyo ambaye atakuwa anavaa mavazi mekundu na meusi na wasaidizi wake watavalia nguo nyeupe wakati waamini wake watakuwa wanavaa suti nyeusi na tai.. tena huduma nyingi zitaboreshwa wanadamu watapigwa alama kwa wote watakao kubali kuwaabudu na huduma yeyote ile utapatiwa tu endapo una alama hiyo ... mara nyingi kwa sasa wanatumia lugha ya ustaraabu na ukweli uliopo maraisi wengi wa dunia ni watumishi wa free masoni hata bunge la wingeereza lina viti 789 lakini kiti namba 666 hakina mbunge mpaka sasa ni dhahiri kwamba wanamsubiria huyo mnyama mwenye namba 666 namba ya shetani mkuu atakayetumwa na lucifer.. na mpaka sasa freemasoni imeshaingia tanzania kupitia grand yao kubwa inayoitwa district grand lodge of east africa na makanis yao tanzania yapo daresalaam, mwanza, arusha, moshi na tanga ambapo grand hiyo ya afrika mashariki makao makuu yapo kenya ,, mpaka sasa wanamiliki hospitali kadhaa daresalam ikiwemo kunduchi health center na mikocheni clinical center, wanamiliki pia shule kadhaa za english medium, tena nyingi sikitumia jina la watakatifu na zinaongozwa na masister wa kanisa katoliki , mfano montesori school, na pia wanamiliki viwanda na center mbalimbali za watoto yatima.. kampuni ambayo ina ubia mkubwa na freemasoni ni kampuni ya simu ya vodacom tanzania ndio maana vodacom ina nertwork kubwa kenya inaitwa safaricom , pia ugand ipo na rwanda ipo na msumbiji ipo pia.. kuna matukio kadhaa yalishawahi kutokea kwamba mtu anapigiwa simu akishapokea anakufa papo kwa hapo hizo zilikuwa ni kafara za masheatani kama vodacom walikuwa wanajua kinachoendelea ndo maana hawakujibu chochote.. cha kunishangaza ni wazazi kuamini hizi shule za mchepuo wa kiingereza bila kujua madhara yake ya harakaharaka sijiui huwa hawajiulizi maswali mengi kwani wao walisomea huko shtukeni na kuweni makini na hivi vyuo vya hivi karibuni pamoja na hizi hopitali mpya kule mnaenda kuandaliwa kuwa wafuasi wakubwa wa shetani hebu iangalie picha hii hapa chini .. anyaeonekana nis sisiter wa kanisa katoaliki tanzania kutoka montessori english medium iliyopo mwanza karibu sana na mji .. pia ndiye sisiter mkuu msimamizi wa taasisi ya montessori tanzania.
The Montessori English Medium Primary School was established in Kiloleli, a small village close to Mwanza in 1995 by Sister Denise Mattle. The Primary School gets its students from a Montesori Kindergarten in Kawekamo, Mwanza.
For the students to continue their education, a Secondary School has been started and is still under construction. In addition the Sister wishes to establish a Teacher's Training College to prepare teachers in the Montessori Method.
Although the government approves of her schools, it does not provide any funding. However, the Sister's efforts were noticed by the Mwanza Freemasons and this project was adopted by the District grand lodge of east africa.. hiyo ni picha inayothibithisha uwepo wa freemason tanzani na msaada wao katika elimu hata watu tunaowaamini nao wamo na huku wakitusisitiza tuachane na kuabudu shetani sijui huwa wana maana gani.
kwa maoni na ushauri usisahau kuniandikia kwenda namba 0753533359 au email me at kimarioerasmi@gmail.com tukomeshe maovu tanzania..
Jumatano, 8 Februari 2017
AJIRA YAKO: Job Vacancy Sales Manager CV People
AJIRA YAKO: Job Vacancy Sales Manager CV People: PARTS SALES MANAGER Automotive, Dar, Tanzania View job at: https://tanzania.cvpeopleafrica.com/jobs/view/sales-marketing-pr-adverti...
eaglefm.blogger
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
