bit maaalumu kwa wasanii chipukizi ...kutoka kwa producer wasonga idownload hapa bitt ya wasonga na producer wasonga mrombo nipo kwa ajili ya watu na kuwasaidia chipukizi kama we ni msanii usisite kunitafuta facebook natumia jina la wasongamrombodjs na kupitia barua pepe kimarioerasmi@gmail.com au 0753533359
other blog
Jumatano, 12 Julai 2017
Jumanne, 9 Mei 2017
wimbo mpya kutotka kwa mamelody ft darasa
anaitwa job fire wa melody zaman mamelody classic ..anaimba kama barnaba ..no barnaba anaimba kama yeye ..anaishi jiji jipya la killimanjaro na ni moshi ...pakua ngoma yake hii hapa mamelody sound job fire na usisahau kutoa maoni yako hapa ... nami sitasita kuipa kisogo ndani ya eaglefm ....braaaaaaaaaaa,,
eaglefm.blogger
eaglefm.blogger
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)