other blog

Jumatatu, 27 Februari 2017

NAFASI ZA AJIRA TAASISI YA MATUMAINI YA KIJIJI SHULE YA MSINGI NA AWALI ILIYOPO MWANZA.

Meneja wa taasisi ya VILLAGE OF HOPE pre and primary school anawatangazia nafasi za ajira kwa watanzania wote wenye sifa..  nafazi zinazotangazwa ni nafasi ya mwalimu mkuu wa shule na waalimu wa elimmu maalumu

kwa nafsi ya ualimu mkuu muombajia anastahili kuwa na sifa zifuatazo :-


1. awe na elimu ngazi ya shahada ya elimu au yeyote ile ila awe alishawahi kufanya kazi ya elimu 
au ukuu wa shule..

2. awe anajua sykolojia ya watoto ili kubaini matatizo yao kwa haraka \

3. awe ananguvu za kuongoza jopo la vijana na pia awe kidogo mzoefu kwenye mambo ya uongozi

4. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika  nafasi anayoomba 


kwa nafasi ya ualimu elimu maalumu muombaji anatakiwa awe na vigezo vifuatavyo :-

1. awe mhitimu wa shahada ya elimu maalumu au fani yeyote ila awe alishawahi kufanya kazi  inayohusiana na elimu maalumu msingi 

2. awe anajua kutumia zana za masikizi maono, maono tu au masikizi tu kwa tajiriba ya hali ya juu ili kusaidia ufundishaji makini kwa wanafunzi wote 

3. awe anajua sykolojia ya watoto walemavu ili kubaini matatizo yao kwa wepesi

4. mwenye huruma, anayejali walemavu na anayejua kusalia na kuwaongoza watoto kiroho 

5. awe mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 45

6. awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja kwa wahitimu wa shahada za fani nyingine 

KWA YEYOTE MWENYE KUKIDHI VIGEZO TAJWA HAPO JUU, TUMA BARUA YAKO YA MAOMBI MAPEMA KABLA YA TAREHE  7 MWENZI WA TATU 2017  KUPITIA ANUANI IFUATAYO :-

VILLAGE OF HOPE PRIMARY SCHOOL MWANZA
P.O.B OX  732
MWANZA.

AU TUMA BARUA YAKO KWA BARUA PEPE   Jkenyamanyara@vohaAfrica.com

SHULE HII IPO MWANZA, NA INATOA MISHAHARA MIZURI ... TUNAWAKARIBISHA NYOOTE . KWA  MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU +255753904378

AJIRA SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI { TANGAZO JIPYA} SHULE YA MERIT DARESAALAM

Mkurugrnzi mtendaji wa shule ya msingi MERIT anayo furaha kukaribisha maombi ya kazi kwa  wahitimu wa  vyuo mbalimbali na vyuo vya ualimu pia na waalimu ... MERIT  ni shule ambayo inasifika kwa utoaji wa elimu thabithi na yenye ushindani tanzania...   nafasi zinazotangazwa ni pamoja  na UALIMU NGAZI YA CHEKECHEA NA UALIMU WA MSINGI KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI SABA ...  muombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo :-

1.AWE NA CHETI AU DIPLOMA YA UALIMU KUTOKA CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIKA 

2. AWE MTANZANIA  MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 25 -45

3. AKIWA MGENI WA KENYA AU UGANDA BASI AWE NA VIBALI VYOTE VINAVYOMWEZESHA KUISHI HAPA NCHINI

4.AWE NA ANGALAU UZOEFU WOWOTE WA ELIMU  NA JINSI YA KUWALEA WATOTO KIMAADILI

mwenye sifa tajwa hapo juu anaombwa  kutuma maombi kupitia anuani ifuatayo .... mwisho wa kupokea maombi tarehe 5 mwezi wa tatu 2017

SCHOOL PRINCIPAL 
MERIT SCHOOL OF TANZANIA 
P.O.BOX 652011
DAR-ES-SALAAM.

AU KWA BARUA PEPE IFUATAYO meritschool@gmail.com 

AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ...  AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.

Jumapili, 19 Februari 2017

shule za private zabainika nyingi kuwa ni za freemasons pamoja na shule na vyuo binafsi vinavyomilikiwa na kanisa katoliki pamoja lutheran ....monterssori wengi mnaifahamu kwa madhari mazuri. wazai kuweni makini

Basi ndugu msomaji wa eaglefm leo nimejaribu kukupekulia kuhusu ufrimasoni tanzania  dini iliyotaribiwa kuja kuongoza dunia miaka elfu moja ambapo atashuka mtu mmoja kwa jina la messia dajal shetani mwenye jicho moja tu na pembe mbili..  shetani huyu atashuka na watu wote watapaswa kumwabudu pasipo kupinga  kwani ukikiuka amri basi utaaga dunia, basi nikueleze  machache jinsi hali itakavyokuwa bibilia imeweka wazi kabisa katika kurasa za ufunuo wa yahani na kwenye kurani pia limeelezwa vizuri atakuja mtu huyo ambaye atakuwa anavaa mavazi mekundu na meusi na wasaidizi wake watavalia nguo nyeupe wakati waamini wake watakuwa wanavaa suti nyeusi na tai.. tena huduma nyingi zitaboreshwa  wanadamu watapigwa alama kwa wote watakao kubali kuwaabudu na huduma yeyote ile utapatiwa tu endapo una alama hiyo ...  mara nyingi kwa sasa wanatumia lugha ya ustaraabu na ukweli uliopo maraisi wengi wa dunia  ni watumishi wa free masoni hata bunge la wingeereza lina viti 789  lakini kiti namba 666 hakina mbunge mpaka sasa ni dhahiri kwamba wanamsubiria huyo mnyama mwenye namba 666 namba ya shetani mkuu atakayetumwa na lucifer.. na mpaka sasa freemasoni imeshaingia tanzania kupitia grand yao kubwa inayoitwa district grand lodge of east africa na makanis yao tanzania yapo daresalaam, mwanza, arusha, moshi na tanga ambapo grand hiyo ya afrika mashariki makao makuu yapo kenya ,, mpaka sasa wanamiliki hospitali kadhaa daresalam ikiwemo kunduchi health center na mikocheni clinical center, wanamiliki pia shule kadhaa za english medium, tena nyingi sikitumia jina la watakatifu na zinaongozwa na masister wa kanisa katoliki , mfano montesori school, na pia wanamiliki viwanda na center mbalimbali za watoto yatima.. kampuni ambayo ina ubia mkubwa na freemasoni ni kampuni ya simu ya vodacom tanzania ndio maana vodacom ina nertwork kubwa kenya inaitwa safaricom , pia ugand ipo na rwanda ipo na msumbiji ipo pia.. kuna matukio kadhaa yalishawahi kutokea kwamba mtu anapigiwa simu akishapokea anakufa papo kwa hapo hizo zilikuwa ni kafara za masheatani kama vodacom walikuwa wanajua kinachoendelea ndo maana hawakujibu chochote.. cha kunishangaza ni wazazi kuamini hizi shule za mchepuo wa kiingereza bila kujua madhara yake ya harakaharaka sijiui huwa hawajiulizi maswali mengi kwani wao walisomea huko shtukeni na kuweni makini na hivi vyuo vya hivi karibuni pamoja na hizi hopitali mpya kule mnaenda kuandaliwa kuwa wafuasi wakubwa wa shetani hebu iangalie picha hii hapa chini .. anyaeonekana nis sisiter wa kanisa katoaliki tanzania kutoka montessori english medium iliyopo mwanza karibu sana na mji .. pia ndiye sisiter mkuu msimamizi wa taasisi ya montessori tanzania.
The Montessori School - Mwanza, Tanzania
The Montessori English Medium Primary School was established in Kiloleli, a small village close to Mwanza in 1995 by Sister Denise Mattle. The Primary School gets its students from a Montesori Kindergarten in Kawekamo, Mwanza.
For the students to continue their education, a Secondary School has been started and is still under construction.  In addition the Sister wishes to establish a Teacher's Training College to prepare teachers in the Montessori Method.
Although the government approves of her schools, it does not provide any funding.  However, the Sister's efforts were noticed by the Mwanza Freemasons and this project was adopted by the District grand lodge of east africa..         hiyo ni picha inayothibithisha uwepo wa freemason tanzani  na msaada wao katika elimu hata watu tunaowaamini nao wamo na huku wakitusisitiza tuachane na kuabudu shetani sijui huwa wana maana gani.

kwa maoni na ushauri usisahau kuniandikia kwenda namba 0753533359 au email me at kimarioerasmi@gmail.com   tukomeshe maovu tanzania..






Jumatano, 8 Februari 2017

AJIRA YAKO: Job Vacancy Sales Manager CV People

AJIRA YAKO: Job Vacancy Sales Manager CV People: PARTS SALES MANAGER Automotive, Dar, Tanzania View job at: https://tanzania.cvpeopleafrica.com/jobs/view/sales-marketing-pr-adverti... eaglefm.blogger

Jumatatu, 16 Januari 2017

WASANII WA MOSHI KILLIMANJARO NA DJ WA NGUVU WASONGA MROMBO

MPENZI  MSOMAJIA UMEPITWA NA NYIMBO  HII YA LUCKB ITAZAME HAPA KWA SAPOTI YA NGUVU KWA MSANII WETU  WA BONGO KUTOKA MOSHI TAZAMA VIDEO YAKEA HAPA. INAITWA TULIZANA BAIBY ... SWEET REGGE

Msaniii  mpya na chipukizi kabisa kutoka moshi anawaomba sapoti yenu ili  aweze kufika mbali kimuziki kama wewe pia ni msanii  usisahau kunifollow facebook as wasonga Mrombo dj UPATE UDATE KALI ZA MOSH....  NENDA YOUTUBE SEACH KIMARIOERASMI KWA VIDEO ZA MOSHI.


Jumatatu, 26 Desemba 2016

MDADA AFARIKI GAFLA KANISANI ROMBO AKIWA ANAPAMBA KANISANI..

kwenye picha ni mdada aliyefariki gafla baada ya kuanguka juu ya jukwaaa kanisani mdada

aliyetambulikana kwa jina la CATHERIN ELIGI MANG'ORO alianguka kwenye aliteleza na kuanguka kwenye jukwaaa wakati akiwa anapamba jukwaa kwa ajili ya misa takatifu ya christmass.. dada huyo alipata ajali hiyo katika kigango cha kwamaksau kilichopo PAROKIA YA KENI ....ROMBO MKOANI KILLIMANJARO..

wadau walisaidiana ili kukimbiza hospitalini lakini huhudi zao pamoja na daktari hazikuzaa matunda.. DADA CATHERIN ametuachia pengo kubwa alikuwa mhitimu wa chuo kikuu msubiri ajira pasipo hata kufarahia matunda ya elimu yake mungu kamuita kwenda kumuandalia makao huko mbinguni.. tunaamini dada yetu aliaga akiwa anafanya  kazi ya kanisa basi na mbinguni ataendelea na kazi hiyohiyo ya kumsifu mungu..

tuliobaki mim na ww tumkumbuke mungu kila wakati kwani hatujui saa wa siku atakayojuja mwana wa mungu tumsifu mungu daima hekaluni

DADA YETU CATHERIN TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI ..MUNGU AKUREHEMU UPUMZIKE KWA AMANI.         AMINA

Alhamisi, 22 Desemba 2016

Ndalichako asitisha ajira za waalimu wa sanaa yaani arts kwa ngazi ya sekondari kama ulikuwa unasubiria ajira mkuu anza kufanya vitu vingine.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi,
Profesa Joyce Ndalichako,
ametoa masharti mapya ya
ajira za ualimu nchini, huku
akisema Serikali haitaajiri
walimu wa masomo ya sanaa
(arts) kwa kuwa wapo wa
kutosha.

Akizungumza mjini Dodoma
jana wakati akifungua
mkutano mkuu wa mwaka wa
Wakuu wa Shule za Sekondari
Tanzania (TAHOSSA), Profesa
Ndalichako, alisema Serikali
kwa sasa haiwezi kuajiri
walimu wa masomo hayo
kwa kuwa inataka kuajiri
walimu wa masomo ya
sayansi na hisabati ambao
idadi yao ni ndogo.
“Pamoja na uamuzi huo mpya,
ajira za walimu wapya wa
masomo ya sayansi nazo
zimebadilika kwani wale wote
waliohitimu ualimu wa sayansi
na hisabati, wanatakiwa
watume vyeti vyao kabla ya
kupangiwa kituo cha kazi.
Kuhusu wale walimu wa
‘arts’, kule tuna walimu wa
ziada ambao tutajaribu
kuwapanga kutokana na shule,
kwani wengi walikuwa
wamepangwa shule moja.
Kwahiyo, tutaangalia utaratibu
wa kuwapanga kulingana na
mahitaji,’’ alisema Profesa
Ndalichako.
Akizungumzia suala la ubora
wa elimu nchini, Profesa
Ndalichako aliwataka walimu
wakuu hao kuhakikisha
wanasimamia ubora wa
elimu kwa kuwa wao ndio
wanaowaandaa wanafunzi
kabla hawajaenda vyuoni.
“Vilevile pelekeni takwimu
sahihi za wanafunzi waliopo
katika shule zenu kuisaidia
Serikali katika kupanga bajeti ili
iweze kutoa fedha sahihi.
“Hapa kuna kimbembe, yaani
wakati mwingine huwa
najifanya nimepoteza takwimu
ya shule fulani, nikiziomba na
kutumiwa, zinakuwa ni tofauti
na zile za mwanzo.
“Hili nawaomba mkalisimamie
ili iwe rahisi kwetu kupanga
bajeti yenye tija,’’ alisema.
Kuhusu ujenzi wa maabara
katika shule za sekondari,
waziri huyo alisema kwamba
kutokana na nyingi
kukamilika, Serikali itatoa
vifaa vya maabara kuanzia
Januari mwakani baada ya
kuwa vimeingia nchini
kutoka vilikoagizwa.
Awali, akisoma risala ya
walimu hao, Rais wa
TAHOSSA, Bonus Nyimbo,
aliiomba Serikali itoe waraka
wa kupiga marufuku
matumizi ya simu kwa
wanafunzi shuleni kwa kuwa
zimekuwa zikichangia
kushuka kwa ufaulu kwa
baadhi ya wanafunzi.
“Ili kuboresha elimu,
tunaiomba Serikali itoe waraka
wa kupiga marufuku matumizi
ya simu kwa wanafunzi kwani
simu nyingi tunazozikamata
tunakuta mule hakuna
taaluma,’’ alisema Nyimbo.
Kwa upande wake,
Mkurugenzi wa Global
Education Link, Abdulmalik
Molel, ambaye pia kampuni
yake ilipewa tuzo ya heshima
katika kuendeleza elimu
nchini, alisema ni jukumu la
kila mmoja kutimiza wajibu
wake ili kuiendeleza elimu ya
Tanzania.
“Kila mmoja anapaswa
kutimiza wajibu, wazazi,
walezi na walimu, waambieni
wanafunzi wasiwe na
‘expectation’ (matarajio)
makubwa kwani wanapokuwa
na matarajio hayo, wakienda
vyuo vikuu wanakuwa
wasumbufu,” alisema.
Wakati hayo yakiendelea, juzi
taarifa ilitolewa jijini Dar es
Salaam na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi,
Maimuna Tarishi, ikisema
kwamba, walimu wahitimu
wa masomo ya sayansi na
hisabati waliohitimu shahada
na astashahada mwaka 2015,
wanatakiwa kuwasilisha
nakala za vyeti vya elimu ya
sekondari vya kidato cha nne
na sita na taaluma ya ualimu
kwa uhakiki.
Pamoja na hayo, hivi
karibuni Serikali ilitangaza
kusitisha ajira zote nchini ili
kukabiliana na wimbi la
watumishi hewa.
Sambamba na uamuzi huo,
nyongeza za mishahara kwa
watumishi wa Serikali nazo
zilisimamishwa ili
kukabiliana na watumishi
hao hewa ambao walikuwa

Imeandaliwa na ben mrosso kutoka dodoma