other blog

Jumatano, 12 Julai 2017

bit maaalumu kwa wasanii chipukizi ...kutoka kwa producer wasonga idownload hapa bitt ya wasonga na producer wasonga mrombo  nipo kwa ajili ya watu na kuwasaidia chipukizi kama we ni msanii usisite  kunitafuta facebook natumia jina la wasongamrombodjs na kupitia barua pepe kimarioerasmi@gmail.com au 0753533359

Jumanne, 9 Mei 2017

wimbo mpya kutotka kwa mamelody ft darasa

anaitwa job fire wa melody zaman mamelody classic ..anaimba kama barnaba ..no barnaba anaimba kama yeye ..anaishi jiji jipya la killimanjaro na ni moshi ...pakua ngoma yake hii hapa mamelody sound job fire na usisahau kutoa maoni yako hapa ... nami sitasita kuipa kisogo ndani ya eaglefm ....braaaaaaaaaaa,,
eaglefm.blogger