AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ... AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.
other blog
Jumatatu, 27 Februari 2017
AJIRA SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI { TANGAZO JIPYA} SHULE YA MERIT DARESAALAM
AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ... AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.
Jumapili, 19 Februari 2017
shule za private zabainika nyingi kuwa ni za freemasons pamoja na shule na vyuo binafsi vinavyomilikiwa na kanisa katoliki pamoja lutheran ....monterssori wengi mnaifahamu kwa madhari mazuri. wazai kuweni makini
Jumatano, 8 Februari 2017
AJIRA YAKO: Job Vacancy Sales Manager CV People
Jumatatu, 16 Januari 2017
WASANII WA MOSHI KILLIMANJARO NA DJ WA NGUVU WASONGA MROMBO
Msaniii mpya na chipukizi kabisa kutoka moshi anawaomba sapoti yenu ili aweze kufika mbali kimuziki kama wewe pia ni msanii usisahau kunifollow facebook as wasonga Mrombo dj UPATE UDATE KALI ZA MOSH.... NENDA YOUTUBE SEACH KIMARIOERASMI KWA VIDEO ZA MOSHI.MPENZI MSOMAJIA UMEPITWA NA NYIMBO HII YA LUCKB ITAZAME HAPA KWA SAPOTI YA NGUVU KWA MSANII WETU WA BONGO KUTOKA MOSHI TAZAMA VIDEO YAKEA HAPA. INAITWA TULIZANA BAIBY ... SWEET REGGE
Jumatatu, 26 Desemba 2016
MDADA AFARIKI GAFLA KANISANI ROMBO AKIWA ANAPAMBA KANISANI..
kwenye picha ni mdada aliyefariki gafla baada ya kuanguka juu ya jukwaaa kanisani mdada
aliyetambulikana kwa jina la CATHERIN ELIGI MANG'ORO alianguka kwenye aliteleza na kuanguka kwenye jukwaaa wakati akiwa anapamba jukwaa kwa ajili ya misa takatifu ya christmass.. dada huyo alipata ajali hiyo katika kigango cha kwamaksau kilichopo PAROKIA YA KENI ....ROMBO MKOANI KILLIMANJARO..
wadau walisaidiana ili kukimbiza hospitalini lakini huhudi zao pamoja na daktari hazikuzaa matunda.. DADA CATHERIN ametuachia pengo kubwa alikuwa mhitimu wa chuo kikuu msubiri ajira pasipo hata kufarahia matunda ya elimu yake mungu kamuita kwenda kumuandalia makao huko mbinguni.. tunaamini dada yetu aliaga akiwa anafanya kazi ya kanisa basi na mbinguni ataendelea na kazi hiyohiyo ya kumsifu mungu..
tuliobaki mim na ww tumkumbuke mungu kila wakati kwani hatujui saa wa siku atakayojuja mwana wa mungu tumsifu mungu daima hekaluni
DADA YETU CATHERIN TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI ..MUNGU AKUREHEMU UPUMZIKE KWA AMANI. AMINA
Alhamisi, 22 Desemba 2016
Ndalichako asitisha ajira za waalimu wa sanaa yaani arts kwa ngazi ya sekondari kama ulikuwa unasubiria ajira mkuu anza kufanya vitu vingine.
WAZIRI wa Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi,
Profesa Joyce Ndalichako,
ametoa masharti mapya ya
ajira za ualimu nchini, huku
akisema Serikali haitaajiri
walimu wa masomo ya sanaa
(arts) kwa kuwa wapo wa
kutosha.
Akizungumza mjini Dodoma
jana wakati akifungua
mkutano mkuu wa mwaka wa
Wakuu wa Shule za Sekondari
Tanzania (TAHOSSA), Profesa
Ndalichako, alisema Serikali
kwa sasa haiwezi kuajiri
walimu wa masomo hayo
kwa kuwa inataka kuajiri
walimu wa masomo ya
sayansi na hisabati ambao
idadi yao ni ndogo.
“Pamoja na uamuzi huo mpya,
ajira za walimu wapya wa
masomo ya sayansi nazo
zimebadilika kwani wale wote
waliohitimu ualimu wa sayansi
na hisabati, wanatakiwa
watume vyeti vyao kabla ya
kupangiwa kituo cha kazi.
“Kuhusu wale walimu wa
‘arts’, kule tuna walimu wa
ziada ambao tutajaribu
kuwapanga kutokana na shule,
kwani wengi walikuwa
wamepangwa shule moja.
Kwahiyo, tutaangalia utaratibu
wa kuwapanga kulingana na
mahitaji,’’ alisema Profesa
Ndalichako.
Akizungumzia suala la ubora
wa elimu nchini, Profesa
Ndalichako aliwataka walimu
wakuu hao kuhakikisha
wanasimamia ubora wa
elimu kwa kuwa wao ndio
wanaowaandaa wanafunzi
kabla hawajaenda vyuoni.
“Vilevile pelekeni takwimu
sahihi za wanafunzi waliopo
katika shule zenu kuisaidia
Serikali katika kupanga bajeti ili
iweze kutoa fedha sahihi.
“Hapa kuna kimbembe, yaani
wakati mwingine huwa
najifanya nimepoteza takwimu
ya shule fulani, nikiziomba na
kutumiwa, zinakuwa ni tofauti
na zile za mwanzo.
“Hili nawaomba mkalisimamie
ili iwe rahisi kwetu kupanga
bajeti yenye tija,’’ alisema.
Kuhusu ujenzi wa maabara
katika shule za sekondari,
waziri huyo alisema kwamba
kutokana na nyingi
kukamilika, Serikali itatoa
vifaa vya maabara kuanzia
Januari mwakani baada ya
kuwa vimeingia nchini
kutoka vilikoagizwa.
Awali, akisoma risala ya
walimu hao, Rais wa
TAHOSSA, Bonus Nyimbo,
aliiomba Serikali itoe waraka
wa kupiga marufuku
matumizi ya simu kwa
wanafunzi shuleni kwa kuwa
zimekuwa zikichangia
kushuka kwa ufaulu kwa
baadhi ya wanafunzi.
“Ili kuboresha elimu,
tunaiomba Serikali itoe waraka
wa kupiga marufuku matumizi
ya simu kwa wanafunzi kwani
simu nyingi tunazozikamata
tunakuta mule hakuna
taaluma,’’ alisema Nyimbo.
Kwa upande wake,
Mkurugenzi wa Global
Education Link, Abdulmalik
Molel, ambaye pia kampuni
yake ilipewa tuzo ya heshima
katika kuendeleza elimu
nchini, alisema ni jukumu la
kila mmoja kutimiza wajibu
wake ili kuiendeleza elimu ya
Tanzania.
“Kila mmoja anapaswa
kutimiza wajibu, wazazi,
walezi na walimu, waambieni
wanafunzi wasiwe na
‘expectation’ (matarajio)
makubwa kwani wanapokuwa
na matarajio hayo, wakienda
vyuo vikuu wanakuwa
wasumbufu,” alisema.
Wakati hayo yakiendelea, juzi
taarifa ilitolewa jijini Dar es
Salaam na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi,
Maimuna Tarishi, ikisema
kwamba, walimu wahitimu
wa masomo ya sayansi na
hisabati waliohitimu shahada
na astashahada mwaka 2015,
wanatakiwa kuwasilisha
nakala za vyeti vya elimu ya
sekondari vya kidato cha nne
na sita na taaluma ya ualimu
kwa uhakiki.
Pamoja na hayo, hivi
karibuni Serikali ilitangaza
kusitisha ajira zote nchini ili
kukabiliana na wimbi la
watumishi hewa.
Sambamba na uamuzi huo,
nyongeza za mishahara kwa
watumishi wa Serikali nazo
zilisimamishwa ili
kukabiliana na watumishi
hao hewa ambao walikuwa
Imeandaliwa na ben mrosso kutoka dodoma
