other blog

Jumapili, 29 Mei 2016

AJALI MBAYA YATOKEA MAKERERE BARABARA YA KUSHUKA MWIKA ILIYOHUSISHA NOA ITOKAYO TARAKEA KWENDA MOSHI





Mungu ibariki Tanzania mungu iokoe Tanzania .. yatupasa kutubu kila wasaa maana hatujui siku wala saa kitakapo tokea kiama.. AJALI HIYO HAIKUPONYESHA HATA MMOJA WOTE KUMI NA TANO WALIKUFA WENGI WAKIWA NI WA TARAKEA.. CHANZO CHA AJALI HIYO INASEMEKANA KUWA NI HITILAFU YA GARI ILIPOFELI BREAK NA KUSABABISHA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA MARA KADHAA .. WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO WANASEMA KUWA ABIRIA KUMI NA MBILI WALIAGA DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE WATATU WALIFIA KCMC ... YA MUNGU NI MENGI SIFA NA UTUKUFU ZIRUDI KWAKE .. YEYE NDIYE MUUMBA ..YEYE NDO ANACHUKUA APEWE SIFA MILELE...ROHO ZA MAREHEMU WOTE WAPATE REHEMA KWA MUNGU WAPUMZIKE KWA AMANI.

Jumatano, 18 Mei 2016

Marketers, Project Manager, Teachers

Nafasi za kazi ardhi chuo kikuu.. Omba sasa



VACANCY ANNOUNCEMENT
Ardhi University has vacant position in
the Administrative cadre.
The University subscribes to the policy
of an equal opportunity employer and
therefore invites applications from
candidates who are interested to work
in a thriving University environment
and have the requisite skills,
Qualifications and experience for
various positions as indicated below;
Job Title: Insurance Manager (1
Post) Re -advertised)
Required Qualifications:
• Holder of first Degree / Advanced
Diploma in Insurance or a
• Diploma in Business Field plus a
Certificate in Insurance or any other
recognized professional
Insurance qualifications. AND 3 years
post qualification experience in the
Insurance Industry at,
managerial or executive position.
Duties
i. To run a department for handling
Insurance business at Ardhi
University.
ii. To develop competitive quotes, to
prompt of documents promptly, and
proper advice at
the time of claims.
iii. To maintain follow-ups of claims of
their prompt settlement by Insurance.
iv. To develop and nurse relationship
with clients through, physical visits
and various
communication platform.
v. To enhance public awareness of the
Agency through various
communication strategies.
vi. To build support with Institutions in
Tanzania in order to have their
Insurance routed
through ARU’S Insurance Agency.
vii. To maintain an accurate and
complete customer database and
networking with
construction firms in order to solicit
business on engineering for ARU’S
Insurance
Agency.
Duty Station for the advertised post is
Dar es salaam.
GENERAL REQUIREMENTS FOR ALL
APPLICANTS
1. All academic awards should be
from recognized Universities and
Institutions.
2. All applicants with certificates from
foreign Universities should have the
certificates verified by the Tanzania
Commission for Universities (TCU)
3. All applicants must submit signed
application letters accompanied with
the following:
i) Copies of relevant academic and
professional certificates;
ii) Three names and complete
addresses of referees;
2iii) Current CV
4. Age limit: Not above 35 years
5. Applications should reach the
University by using the address below
not later than 5Th May, 2016.
6. Only short-listed applicants will be
contacted.
7. Those applied during the first
advertisement need not to apply
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Interested applicants should submit
their applications to the undersigned:
The Deputy Vice Chancellor
(Planning, Finance and
Administration)
Ardhi University
P.O. Box 35176
DAR ES SALAAM

Jumatatu, 25 Aprili 2016

Hatimaye nothern highland teachers college yatoa wahitimu wa ualimu stashahada na astashahada ikiwa ni nahafali ya saba tangu kuanxishwa kwa chuo.






Wanao onekana kwenye picha ni wahitimu wa koxi mbalimbali xa ualimu chuo cha ualimu nothernhighland kilichopo moshi karibu kabisa na uwanja wa ndege moshi . Chuo hiki kinatoa mafunzo ya ualimu diploma ya msingi kwa waalimu ambao wapo kazini pamoja na mafunzi ya ualimu kwa wahitimu wa kidato cha nne wenye ufaulu wa division 3 au mwenye division 4 na amehitimu chuo kinachitambuliwa na serikali anaweza kujiunga na kozi hixo zs ualimu maombi yote yanapatikana hapa www.nacte.co.tz kisha chagua chuo bora cha northern highland kama chaguo la kwanza.. Ni chuo bora chenye bei nafuu na wAalimu mahiri.. Karibuni nyote.

Ijumaa, 8 Aprili 2016

Kimeta, kimeta, kimeta, chatishia Rombo chaua nane user na tarakea, nne kooti na sita mkuu...serikali itangaze tahadhari.


[image_2

Zinazoonekana hapo juu ni nyama za mbuzi ambazo tiyari zimeshaandaliwa kuuzwa kwa wakazi wa eneo la useri..


Leo ni siku ya tisa ambapo ugonjwa hatari wa wanyama ujulikanao kama kimeta kulaza watu wapatao 16.. nikifanya mahojiano ya moja kwa moja na wamama pamoja na wakazi waliothiriwa na ugonjwa huo wa tarakea na useri nawanukuu" tulinunua nyama ya ng'ombe ambayo tiyari ilishapimwa na madaktari na kusema aendelee kuuza lakini cha kushangaza tukasikia wengi waliotumia ile nyama wamekimbizwa hospitalini ilitubidi sis wenyewe tujihami kwa kukimbilia hospitalini na kupewa matibabu haraka na kupata nafuu ..huku tukiambiwa kuwa wenzetu wamekwisha fariki.. nililia sana na kuilaumu serikali kwa,nini watuletee madaktari feki wa mifugo.. bac tunaomba,serikali itangaze hali ya tahadhari ya kula, nyama kwani mpaka sasa sio serikali ya kijiji mpaka wilaya zote zimenyamaza tu. Serikali ituonee huruma.." walimalizia wakazi hao
Mpaka sasa inasemekana watu 16 wameaga dunia kwa kula nyama hiyo ya kimeta Rombo huku serikali ikijitahidi kupita kutangaza ukusanyaji na ulipaji wa kodi kila siku huku suala la kimeta likitupwa nje .. watalipa je kodi kama watakufa kimeta? Serikali piteni na mtangaze tahadhari ya kutokula nyama.. suala la madaktari kuna,wengine hatujui kama walilazimishwa kufanya kazi hiyo inakuwaje huyu anasema uza na mwingine anakuja anasema acha. Mimi nafungasha mikoba yangu na kuondoka kwani sina cha kuwasaidia labda tu taarifa zifike mahali husika maana hii nchi ina wenyewe .. imeandaliwa na wasonga mrombo kutoka wilayani rombo.

Alhamisi, 12 Novemba 2015

NAFASI YA KAZI HALMASHAURIYA WILAYA YA NGORONGORO MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 20 NOVEMBA 2015

HALMASHAURIYA WILAYA YA
NGORONGORO
NAFASI YA KAZI
Halmashauriya Wilaya ya
Ngorongoro imepokea kibali cha
Ajira Mbadala chenye Kumb.
Na.CB.170/371 /01 /'H’/77 cha
Tarehe 01 Septemba 2015.
Mkurugenzi Mtendaji we
Halmashauri yo Wilaya ya
Ngorongoro anawetangazia
Wananchi wote wenye sifa
kutuma maombi ya kazi kwa
kuzingatia vigezo na maelezo
yaliyo kalika Tangazo hili.
DEREVA DARAJA II (NAFASI 01)
SIFA
• Awe na Elimu ya kidato cha
nne (lV).
• leseni daraja C ya uendeshaji
pamoja na uzoefu kuendesha
magari kwa muda usiopungua
miaka mitatu (3) bila kusababisha
ajali.
• Mwenye cheti cha majaribio yo
Ufundi daraja Ia II.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwe kuzingolia viwango vya
mishahara vya Serikali ngazi yo
Mshahara yo TGOS A kwa mwezi.
Majukumu ya Kazi
• Kuendesha magari ya
Halmashouri.
• Kuhakikisha gari na vyamba
vyake vipo katiko hali nzuri wakati
wote na kufanya uchunguzi wa
gari baada ya safari ili kugundua
ubovu unaohitaji matengenezo.
• Kufanya matengenezo madogo
madogo katika gari.
• Kutunza na kuandika daftari To
salari "Logbook" kwa safari zote.
MASHARTI YA JUMLA KWA
WAOMBAJI
• Mwombaji awe Raia wa
Tanzania.
• Mwombaji awe na umri kati ya
miaka 18 hodi 40.
• Barua zoIe ziandikwe kwa
mkono no ziambatane na nyaraka
zifualaza:-
• Maelezo binafsi (CV)
• Nakala za vyeti kidato cha 4 au
6, na cheti cha kuzaliwa.
• Picha ndogo moja (Passport
size) ya hivi karibuni.
• Transcript, "Testimonial",
Provisional Result au statement of
Result havitakubaliwa.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Barua zote ziwe na anuani ya
mwombaji na namba ya simu
(kama ipo na zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
HaImaShauri ya WiIaya ya
Ngorongoro,
S.LP. 1,
LOLIONDO
Tareheyo Mwisho yo kupokea
maombi ni tarehe 20/11/2015 saa
tisa na nusu (9:30) alasiri.
John K. Mgalula
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
NGORONGORO

Jumamosi, 7 Novemba 2015

Walimu Manyara



Mwenyekiti wa Chama cha Walimu nchini
(CWT) mkoani Manyara, Qambos Sulle.
Mirerani. Walimu mkoani Manyara
wametakiwa kujipanga ili wapate
huduma za fedha kwenye Benki ya
Walimu ambayo imepata leseni.
Benki hiyo inatarajiwa kuanza
kuwahudumia walimu na wananchi
wakati wowote kuanzia sasa.
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu
nchini (CWT) mkoani Manyara,
Qambos Sulle aliyasema hayo wakati
akizungumza kwenye siku ya mwalimu
ambayo ilifanyika katika Mji Mdogo wa
Mirerani wilayani Simanjiro juzi.
Qambos alisema walimu ni wengi na
mishahara yao inapopitia kwenye
benki nyingine huwatengeneza faida
wamiliki wa benki hizo, hivyo
wanapaswa kutumia benki yao ili
iwanufaishe.
“Benki yetu pindi ikishaanza shughuli
zake tutazungumza na Serikali ili tuwe
tunapitisha mishahara ya walimu,
kwani watumishi tutakaowaajiri
tutawalipa kupitia makato ya benki,”
alisema.
Alisema huu ni wakati sahihi kwa
walimu kufaidi matunda ya jasho lao
kwa kuwa kupitia benki hiyo
watajiongezea kipato na kufanya
shughuli nyingine za maendeleo.
Akizungumza katika siku hiyo ya
mwalimu, Katibu wa CWT wilayani
Simanjiro, Abraham Kisimbi alisema
walimu wanapaswa kushughulikiwa
mahitaji yao ili waweze kutekeleza
majukumu ipasavyo.
Katibu wa CWT mkoani Manyara, Nuru
Shenkalwa alisema kwa sasa walimu
wengi ni vijana ambao wanajua haki
zao na wanasoma hadi mitandao,
tofauti na walimu walioanza kazi
miaka ya 1980 wanaotarajia kustaafu.
“Walimu wengi wa zamani walikuwa
wanategemea kusoma magazeti mawili
yaliyokuwapo, lakini hivi sasa kuna
hadi mitandao, hivyo walimu vijana
wanatambua namna ya kudai haki zao
za msingi,” alisema Shenkalwa.