other blog

Jumanne, 9 Mei 2017

wimbo mpya kutotka kwa mamelody ft darasa

anaitwa job fire wa melody zaman mamelody classic ..anaimba kama barnaba ..no barnaba anaimba kama yeye ..anaishi jiji jipya la killimanjaro na ni moshi ...pakua ngoma yake hii hapa mamelody sound job fire na usisahau kutoa maoni yako hapa ... nami sitasita kuipa kisogo ndani ya eaglefm ....braaaaaaaaaaa,,
eaglefm.blogger