other blog

Ijumaa, 21 Agosti 2015

Fahamu ukweli kuhusu freemason na jinsi ya kujiunga...

Ndugu mpenzi msomaji ..karibu katika makala haya kuhusu freemason .. leo nimebahatika kukutana na aliyewahi kuwa mkuu wa freemason africa mashariki sir andy chande ... shuka na hii



WANACHAMA WA FREEMASONS
DUNIANI: Duniani kote sasa
hivi kuna wanachama milioni
tatu laki tano wa
freemasons na wanachangia
dola za kimarekani zaidi ya
milioni 400 kwa ajili ya
misaada kila mwaka, yani
kwa siku ni zaidi ya dola
milioni moja kusaidia afya,
elimu vilevile wajane wa
wanachama wa freemasons
wanasaidiwa ambapo pia
ukiumwa na ukiwa na shida
yeyote kuna msaada wa bure
unapatiwa nakumbuka hata dr
Charles Matwali alipoumwa
sana, tulimpeleka uingereza
kwa matibabu.

JINSI YA KUJIUNGA NA FREEMASONS:
Ili kujiunga ni lazima uwe
na umri wa miaka 21, ni
hiari kujiunga na pia uwe
unamwamini Mungu haijalishi
ni Mungu gani, watu ambao
hawamuamini Mungu
hawaruhusiwi kuwa
Freemasons, na lazima uwe
mtu mkweli.
Ni lazima familia yako
ikubali pia wewe kujiunga
na freemasons kwa sababu
freemasons hawatokubali
kujiunga kwako kukufanye
uwe masikini kutokana na
kutoa misaada.
Unapotaka kujiunga ni
lazima upeleke maombi yako
kwa mtu unaemfahamu ambae
yuko Freemasons, au kama
hujui mtu unaandika barua
baada ya hapo utapewa
nakala za kusoma na kuelewa
na kamati ya kukuruhusu
kuingia kwenye freemasons
itakupeleleza wewe na
familia yako, na pia
watakutembelea nyumbani
kuongeana mkeo au mumeo au
familia.
Inaweza kuchukua mwaka
mmoja na nusu au mwaka
kuruhusiwa kujiunga na
freemasons baada ya
kupeleka maombi, ambapo
hapo ni kukubaliwa tu,
baada ya hapo ili uwe
freemason kamili kuna vyeo
vitatu ambavyo tunaviita
degrees ambavyo ni lazima
uvikamilishe jambo ambalo
linaweza kuchukua zaidi ya
miaka miwili.
.
BAADA YA KUJIUNGA: Pia
unatakiwa kujifunza vitu
vingi na kuvihifadhi
kichwani kama vile maneno
ya kusema wakati unafanya
ibada za freemasons kwa
sababu tukiwa pamoja
tunavyozungumzia sifa za
kuwa binadamu kamili
unaweza ukafananisha na
ibada ya kanisani.

KUHUSU FREEMASON YA UINGEREZA:
Acha nizungumzie Freemason
ya Uingereza ambayo mimi ni
mmoja wao, Makao makuu yako
London kwenye barabara
inaitwa great queen street,
Mkuu wa Freemasons
Uingereza ni binamu yake
malkia Elizabeth ambae
tunamuita Grandmaster.
Kazi zote zinazofanyika na
Freemasons zinaendeshwa
kutoka kule, kwa mfano mv
bukoba ilivyozama nilipiga
simu kule kuomba msaada
wakatuma pound elfu 10
ingawa na sisi hapa tuna
kitengo chetu cha misaada
ambayo kilichangia, maamuzi
ya misaada mikubwa yanatoka
Uingereza.
Kuna mahoteli ya freemasons
Uingereza, Scotland na
Ireland na katika nchi
zilizokua za kisovieti
zamani, tuna mahoteli
duniani nzima ambapo kama
upo kwenye freemasons ya
Dar es salaam unaweza
kuhudhuria vikao kwenye
yeyote kati ya hizo hoteli
duniani tunazomiliki ambazo
zinatumika pia kama kumbi
za mikutano yetu ili mradi
wawe na uthibitisho kwamba
wewe ni mmoja wetu.
Watu wengi huwa wanasema ni
taasisi inayofanya mambo
yake kwa siri lakini ukweli
ni kwamba siri pekee
iliyopo ni jinsi
nitakavyokutambua kama wewe
ni mmoja wetu, vingine
vyote viko wazi na
vinapatikana hata kwenye
internet na unaweza kwenda
kwenye maduka ya vitabu
kote afrika mashariki hata
uingereza ukapata nakala
zote za freemasons ikiwemo
hata maneno tunayosema
tukifanya ibada zetu.
Kwa afrika Mashariki makao
makuu ya freemasons yako
Nairobi Kenya kwa sababu
aliechukua nafasi yangu
yuko Nairobi na pia makamu
wake yuko Nairobi, Kuna
majumba 50 ya freemasons
Afrika Mashariki Ingawa
makao makuu yako Nairobi,
jumba la Dar es salaam
linajitegemea lenyewe na
tunafanya miradi yetu na
kusajili watu wetu
hapahapa, hatuingiliwi na
ofisi ya Nairobi, maamuzi
yetu yanafanyika hapa hapa.
Hapa ni Freemasons Hall Dar es salaam
ambapo Sir Chande anasema kuna
masonic lodge nne Dar es s

FREEMASONS WANAPOKUTANA : Huwa
tunakutana saa 12 jioni na
kutoa ripoti ya
tulivyovifanya tangu
mkutano wa mwisho, kuhusu
misaada tuliyotoa,
wanachama wanaoumwa, na
nani wa kwenda kumtembelea
au kama kuna mwananchama
mpya wa kumuapisha, kama
hayupo tunajadiliana kuhusu
mambo tofauti yanayotuhusu
isipokua siasa na dini,
tunakula pamoja na kila mtu
anaondoka.

MNAKUTANA MARA NGAPI?
Inategemea kama tawi la
Uingereza tulikua
tunakutana mara mbili kwa
mwaka, la huku ambalo ndiko
nilikoapishwa tulikua
tunakutana mara 11 kwa
mwaka lakini siku hizi ni
mara kumi, wengine
wanakutana mara 5,
inategemea na kazi za
kufanya, mfano labda
wanachama wa kuapisha ni
wengi . Ibada inafanyikaje?
.
Ibada inaanza wakati vikao
vinaanza, inahusisha mara
nyingi kitu ambacho
kinafanana na ibada
kanisani, mara nyingi
inahusika kumuweka
mwananchama mpya kwenye
mstari na mtazamo mmoja na
aliowakuta na kwenye ibada
huwezi kuvaa unavyotaka,
lazima uvar suti na tai
isipokua nchi kama India
ambao hawavai tai.
Ukiwa mwanachama unapewa
maswali ambayo ukiyajibu
vizuri kwa muda wako
unaweza kupandishwa cheo na
inachukua muda kufikia
degree ya tatu, tukiwa
kwenye vikao mwenyekiti
anaitwa Master na anao
wasaidizi wawili, kwenye
ibada mwenyekiti anakaa
mashariki, msaidizi mmoja
ana kaa mbele yake
akimtizama na wa pili
anakua anasaidia kwa
shughuli nzima
inayoendelea.
Kuna mwingine ambae ndio
muongozaji wa sala na
wakati tukisali, Mungu
tunamuita Fundi mkuu
aliyeumba sayari zote hiyo
inahakikisha kwamba uwe
Musilamu au mkristo
tunakwenda sambamba.

ISHARA ZINAZOTUMIKA FREEMASONS
.
.
Kuna alama ya Compass
inayotumika kuonyesha
mwelekeo kwa mishale yake,
kuna ruler na pembe nne
ambavyo ni vitu
vinavyotumika kwenye ujenzi
ila vinaweza kutumika
kufundisha kuhusu maisha,
na ndio vinatumika hivyo
wala sio kuhusu kitu
kingine.
Tukifanya ibada zetu au
kumkubali mtu kuingia
freemasons lazima avae
pajama au mavazi
yanayotumika kulalia usiku,
na haruhusiwi kuwa na pesa
mfukoni, kuvaa saa au cheni
ishara ya kuwa yeye ni
masikini kama alivyozaliwa.
Uchawi, kuabudu shetani na
mambo kama hayo watu
wanayosema kwamba
freemasons ndio
inajihusisha na hivyo vitu
ikiwemo kutoa uhai ndugu,
ni waongo, hawana ujuzi wa
kutosha, nakumbuka pia rais
Moi aliunda kamati maalum
kuchunguza uchawi na
waabudu shetani na tuliitwa
nikaenda kuwaeleza kwa muda
wa karibu saa na nusu
kuhusu freemasons, ingawa
hawakuja kutupa ripoti
kamili waliyopeleka kwa
rais moi, walituambia
kwamba wamekubali maelezo
yetu na ingekua bora kama
tungekua tunaeleza zaidi
watu wajue na tusiwe
wasiri.

FAIDA ZA KUWA FREEMASONS:
Hakuna faida za kupata pesa
kama wengi wanavyoambiwa
kwamba ukiwa freemasons
unapewa mihela, faida za
kuwa freemasons ni pamoja
na kuongeza idadi ya
marafiki na kuongeza
knowledge (ufahamu) Faida
nyingine labda ni kama
ukitoa tenda kama
unaanzisha kiwanda na
umetoa tenda ya kazi,
ukiona mmoja wa freemasons
yuko kwenye list ya
walioomba tenda utampa
kipaumbele kwa sababu
unamfahamu na ni kama
ndugu.
Hakuna utoaji wa kafara
kama inavyosemekana na pia
hakuna uhusiano kati ya
freemasons na agano la
kale.


MAMA MZAZI WA KANUMBA KUHUSU
KANUMBA KUWA FREEMASON:
Mama mzazi wa Marehemu
mwigizaji Steven Kanumba
alisema siku kadhaa baada
ya Kanumba kufariki kuna
kijana alikuja nyumbani na
kumwambia mama kwamba yeye
(kijana) ndio alimsaidia
Kanumba kujiunga na
Freemasons miaka kadhaa
iliyopita hivyo alikwenda
nyumbaniili wazungumze na
mama, mama Kanumba
alimfukuza hapohapo na
kumwambia mwanae hajawahi
kuwa freemason na
akamwambia akirudi tena
atamwitia polisi.
.
MISTARI YA JAY Z KWENYE WIMBO WA
FREEMASON WA RICK ROSS.
Watu wananisingizia mambo
ya kishetani, uvumi unaenea
sehemu zote, nipishe huyu
ni Mungu anafanya mambo
yake, najua mnaniogopa
Sijui wa kumwamini sala ya
maria inafanya kazi.
Mnanisingizia vitu vingi
vya kishetani lakini bado
mnapandisha sauti kubwa
mkisikiliza muziki wangu,
hizo stori zote hazina
msingi, mniache Mungu
anafanya kazi yake.
Mungu ndio injinia hapa,
asiefanya fanya dhambi
atupe jiwe la kwanza
angalieni sura zenu kwenye
vioo mnavyoonekana, Sio
kwamba mimi ni Freemason,
nilipitia tu mambo mengi
sana na Mungu anisamehe
manake nisingefika nilipo
bila kufanya dhambi,
nimeosha sura yangu kwa
maji matakatifu hii rozari
yenye shanga, tena shanga
za diamond ni uthibitisho
kwamba Mungu alinisamehe.
Mi ni mkali, acha kutazama
kwenye sahani yangu… sema
tu unatamani nilichonacho .

RIPOTI YA CNN AUGUST 2010 KUHUSU
FREEMASON:
Baadhi ya maseneta wa
majimbo kadhaa ya Marekani
walikiri kuwa ni wanachama
wa Freemason ambapo
ilifahamika kwamba Marais
12 waliowahi kuiongoza
Marekani walikua wanachama
wa Freemason ambapo pia
watu 9 kati ya waliosaini
hati ya uhuru wa Marekani
walikua freemason akiwemo
George Washington.
Sir Andy Chande akifanya interview na
Gerald Hando wa Clouds Fm.
Kuna idadi kubwa ya watu
waliohitaji kufahamu
Freemason ni nini baada ya
taarifa kuenea kwamba
Freemason ni dini ya
kishetani na watu wengi
maarufu wamo humo wakiwemo
viongozi wa nchi na mastaa
wengine kama Jay Z,
Rihanna, Beyonce, Kanye
West, Celine Dion na hata
hapa Tanzania june 2012
magazeti ya udaku
yaliwataja wasanii kama
Diamond Platnums na
Jackline Wolper kwamba wamo
humo lakini wasanii wenyewe
walikanusha.
Clouds TV/Radio kupitia kwa
mtangazaji Gerald Hando
ilipata nafasi ya kufanya
mahojiano na Sir Andy
Chande ambae aliwahi kuwa
kiongozi mkuu wa Freemason
Afrika Mashariki kwenye
nchi za Tanzania, Uganda,
Kenya na Seychelles.
Yafuatayo hapo chini ni
maelezo aliyoyatoa.
ALIKOANZIA SIR CHANDE: Sir
Chande: Alifika Tanzania
mwaka 1950, alihamia Dar es
salaam 1953 na kukutana na
watu wengi wa bandarini,
shirika la reli na
mashirika mbalimbali
aliyofanyia kazi na
alikutana na watu wengi
ambao walikua wanahudhuria
vikao vya freemasons,
akaanza kuuliziaulizia na
akajifunza mambo kadhaa
kuhusu hao watu.
Kwa wakati huo, hao watu
hawakua huru kuzungumzia
Freemasons kama anavyofanya
chande sasa hivi, haswa
kabla ya vita ya pili ya
dunia.
Sir Chande anasema wakati
huo Freemasons ilikua
imegawanywa kwenye makundi
tofauti, katika
mahospitali, shule, na
mashirika mbalimbali na
kulikua na kundi maalum la
freemasons kwa ajili ya
matajiri na wafanyakazi
wakubwa wa serikali,
ukiangalia vizuri wengi wao
walikua wazungu na baadhi
ya wahindi.
Kundi la kwanza lilikua
linaongozwa na watu wa
Scotland, makundi mawili
yaliyofata yalikua
yanaongozwa na waingereza
na kundi la nne lilikua
linaongozwa na wahindi
ambalo kundi la nne ndilo
Chande alilojiunga nalo
nalo, ilimchukua miaka
miwili kukubaliwa kujiunga
na freemason, aliapishwa
rasmi rasmi mwaka 1954
akiwa na umri wa miaka 28,
kumbuka kwamba masharti ya
kujiunga na freemasons ni
lazima uwe na umri kuanzia
miaka 21.
Baada ya hapo ndipo
alipoanza kupenda
Freemasons ambapo pia
alipanda cheo na kupewa
nafasi ya kuongoza kundi au
tawi la freemasons katika
nchi nne ambazo ni Kenya,
Tanzania, Uganda na sychels
na akajiunga na miradi
tofauti ya freemasons
nchini uingereza yakiwemo
mahoteli ya kifahari pamoja
na kupewa jukumu la kujenga
hoteli mpya ya freemasons
nchini Ghana kwenye mji wa
Khumasi ambayo ni ya
kifahari sana.
Hoteli nyingine ya kifahari
alisimamia ujenzi wake iko
Zambia. Sir Andy Chande kwa
sasa ni mstaafu wa
freemasons, 2005 alistaafu
kuwa kiongozi wa Freemasons
Afrika Mashariki baada ya
kuifanyia kazi kwa miaka
19, kwa sasa haudhurii
mikutano ya hizi nchi za
Afrika Mashariki lakini
anahudhuria mikutano ya
Uingireza kwa sababu bado
anafanya kazi na baadhi ya
mashirika Uingereza .

Kanye west, Jay Z na Rihanna.
FREEMASONS NI NINI? Ni taasisi
ambayo ilianzishwa miaka
350 iliyopita katika njia
ambayo haikua rasmi ikaja
kuhalalishwa miaka 300
iliyopita, hatujui vizuri
ilianzishwa vipi ila
inaaminika walikua wajenzi
wanaojenga mashule,
makanisa, wakati ule
kulikua hakuna miji mikubwa
kama sasa wala mahoteli, na
wao walikua wakiishi pamoja
na familia zao na wakihama
wanahama pamoja,
wakaanzisha miradi ya
kujenga hoteli ndogo ndogo
ili kusaidiana kama wajenzi
na kujikwamua kiuchumi,
wakawa wanafundishana..
yani kama una ujuzi
unamsaidia na mwenzako
kujua.
Anasema “Freemasons sio
dini na tukikuta wewe ni
mkristo tunakushinikiza
ukristo wako, kama wewe ni
mhindu unabaki kuwa mhindu,
lakini freemasons orijino
ilianzishwa na wakristo
nchini Uingereza na baadae
ikahamia Ulaya, Marekani,
Australia na India
Freemasons ikaja kuwa kubwa
sana”
NCHI ZA AFRIKA AMBAZO FREEMASON
NI KUBWA: Kwa nchi za Afrika
Freemasons imekuja kuwa
kubwa kwenye nchi kama za
Nigeria na Ghana pia Sierra
Leone, kwanza aliyewahi
kuwa rais wa nchi hiyo
Daudi Jawala alikua mmoja
wetu. Freemasons ilianza
mwaka 1646 alafu ikaja kuwa
rasmi mwaka 1717 lakini
kabla ya hapo katikati
ilikua inafanywa kimya
kimya.
KAZI ZINAZOFANYWA NA FREEMASON
Kazi zinazofanywa sasa hivi
na Freemasons ni kufundisha
wanachama wake kuhusu
majukumu yao kwa
mwenyemwezi Mungu, kwa nchi
yako, familia, na nchi
unayofanyia kazi hata kama
ni ugenini, na kutoa
misaada.

Rihanna.
WANACHAMA WA FREEMASONS
DUNIANI: Duniani kote sasa
hivi kuna wanachama milioni
tatu laki tano wa
freemasons na wanachangia
dola za kimarekani zaidi ya
milioni 400 kwa ajili ya
misaada kila mwaka, yani
kwa siku ni zaidi ya dola
milioni moja kusaidia afya,
elimu vilevile wajane wa
wanachama wa freemasons
wanasaidiwa ambapo pia
ukiumwa na ukiwa na shida
yeyote kuna msaada wa bure
unapatiwa nakumbuka hata dr
Charles Matwali alipoumwa
sana, tulimpeleka uingereza
kwa matibabu.
JINSI YA KUJIUNGA NA FREEMASONS:
Ili kujiunga ni lazima uwe
na umri wa miaka 21, ni
hiari kujiunga na pia uwe
unamwamini Mungu haijalishi
ni Mungu gani, watu ambao
hawamuamini Mungu
hawaruhusiwi kuwa
Freemasons, na lazima uwe
mtu mkweli.
Ni lazima familia yako
ikubali pia wewe kujiunga
na freemasons kwa sababu
freemasons hawatokubali
kujiunga kwako kukufanye
uwe masikini kutokana na
kutoa misaada.
Unapotaka kujiunga ni
lazima upeleke maombi yako
kwa mtu unaemfahamu ambae
yuko Freemasons, au kama
hujui mtu unaandika barua
baada ya hapo utapewa
nakala za kusoma na kuelewa
na kamati ya kukuruhusu
kuingia kwenye freemasons
itakupeleleza wewe na
familia yako, na pia
watakutembelea nyumbani
kuongeana mkeo au mumeo au
familia.
Inaweza kuchukua mwaka
mmoja na nusu au mwaka
kuruhusiwa kujiunga na
freemasons baada ya
kupeleka maombi, ambapo
hapo ni kukubaliwa tu,
baada ya hapo ili uwe
freemason kamili kuna vyeo
vitatu ambavyo tunaviita
degrees ambavyo ni lazima
uvikamilishe jambo ambalo
linaweza kuchukua zaidi ya
miaka miwili.


BAADA YA KUJIUNGA: Pia
unatakiwa kujifunza vitu
vingi na kuvihifadhi
kichwani kama vile maneno
ya kusema wakati unafanya
ibada za freemasons kwa
sababu tukiwa pamoja
tunavyozungumzia sifa za
kuwa binadamu kamili
unaweza ukafananisha na
ibada ya kanisani.
KUHUSU FREEMASON YA UINGEREZA:
Acha nizungumzie Freemason
ya Uingereza ambayo mimi ni
mmoja wao, Makao makuu yako
London kwenye barabara
inaitwa great queen street,
Mkuu wa Freemasons
Uingereza ni binamu yake
malkia Elizabeth ambae
tunamuita Grandmaster.
Kazi zote zinazofanyika na
Freemasons zinaendeshwa
kutoka kule, kwa mfano mv
bukoba ilivyozama nilipiga
simu kule kuomba msaada
wakatuma pound elfu 10
ingawa na sisi hapa tuna
kitengo chetu cha misaada
ambayo kilichangia, maamuzi
ya misaada mikubwa yanatoka
Uingereza.
Kuna mahoteli ya freemasons
Uingereza, Scotland na
Ireland na katika nchi
zilizokua za kisovieti
zamani, tuna mahoteli
duniani nzima ambapo kama
upo kwenye freemasons ya
Dar es salaam unaweza
kuhudhuria vikao kwenye
yeyote kati ya hizo hoteli
duniani tunazomiliki ambazo
zinatumika pia kama kumbi
za mikutano yetu ili mradi
wawe na uthibitisho kwamba
wewe ni mmoja wetu.
Watu wengi huwa wanasema ni
taasisi inayofanya mambo
yake kwa siri lakini ukweli
ni kwamba siri pekee
iliyopo ni jinsi
nitakavyokutambua kama wewe
ni mmoja wetu, vingine
vyote viko wazi na
vinapatikana hata kwenye
internet na unaweza kwenda
kwenye maduka ya vitabu
kote afrika mashariki hata
uingereza ukapata nakala
zote za freemasons ikiwemo
hata maneno tunayosema
tukifanya ibada zetu.
Kwa afrika Mashariki makao
makuu ya freemasons yako
Nairobi Kenya kwa sababu
aliechukua nafasi yangu
yuko Nairobi na pia makamu
wake yuko Nairobi, Kuna
majumba 50 ya freemasons
Afrika Mashariki Ingawa
makao makuu yako Nairobi,
jumba la Dar es salaam
linajitegemea lenyewe na
tunafanya miradi yetu na
kusajili watu wetu
hapahapa, hatuingiliwi na
ofisi ya Nairobi, maamuzi
yetu yanafanyika hapa hapa.

na blog ya samsasali)
FREEMASONS WANAPOKUTANA : Huwa
tunakutana saa 12 jioni na
kutoa ripoti ya
tulivyovifanya tangu
mkutano wa mwisho, kuhusu
misaada tuliyotoa,
wanachama wanaoumwa, na
nani wa kwenda kumtembelea
au kama kuna mwananchama
mpya wa kumuapisha, kama
hayupo tunajadiliana kuhusu
mambo tofauti yanayotuhusu
isipokua siasa na dini,
tunakula pamoja na kila mtu
anaondoka.
MNAKUTANA MARA NGAPI?
Inategemea kama tawi la
Uingereza tulikua
tunakutana mara mbili kwa
mwaka, la huku ambalo ndiko
nilikoapishwa tulikua
tunakutana mara 11 kwa
mwaka lakini siku hizi ni
mara kumi, wengine
wanakutana mara 5,
inategemea na kazi za
kufanya, mfano labda
wanachama wa kuapisha ni
wengi . Ibada inafanyikaje?


Ibada inaanza wakati vikao
vinaanza, inahusisha mara
nyingi kitu ambacho
kinafanana na ibada
kanisani, mara nyingi
inahusika kumuweka
mwananchama mpya kwenye
mstari na mtazamo mmoja na
aliowakuta na kwenye ibada
huwezi kuvaa unavyotaka,
lazima uvar suti na tai
isipokua nchi kama India
ambao hawavai tai.
Ukiwa mwanachama unapewa
maswali ambayo ukiyajibu
vizuri kwa muda wako
unaweza kupandishwa cheo na
inachukua muda kufikia
degree ya tatu, tukiwa
kwenye vikao mwenyekiti
anaitwa Master na anao
wasaidizi wawili, kwenye
ibada mwenyekiti anakaa
mashariki, msaidizi mmoja
ana kaa mbele yake
akimtizama na wa pili
anakua anasaidia kwa
shughuli nzima
inayoendelea.
Kuna mwingine ambae ndio
muongozaji wa sala na
wakati tukisali, Mungu
tunamuita Fundi mkuu
aliyeumba sayari zote hiyo
inahakikisha kwamba uwe
Musilamu au mkristo
tunakwenda sambamba.
ISHARA ZINAZOTUMIKA FREEMASONS

Kuna alama ya Compass
inayotumika kuonyesha
mwelekeo kwa mishale yake,
kuna ruler na pembe nne
ambavyo ni vitu
vinavyotumika kwenye ujenzi
ila vinaweza kutumika
kufundisha kuhusu maisha,
na ndio vinatumika hivyo
wala sio kuhusu kitu
kingine.
Tukifanya ibada zetu au
kumkubali mtu kuingia
freemasons lazima avae
pajama au mavazi
yanayotumika kulalia usiku,
na haruhusiwi kuwa na pesa
mfukoni, kuvaa saa au cheni
ishara ya kuwa yeye ni
masikini kama alivyozaliwa.
Uchawi, kuabudu shetani na
mambo kama hayo watu
wanayosema kwamba
freemasons ndio
inajihusisha na hivyo vitu
ikiwemo kutoa uhai ndugu,
ni waongo, hawana ujuzi wa
kutosha, nakumbuka pia rais
Moi aliunda kamati maalum
kuchunguza uchawi na
waabudu shetani na tuliitwa
nikaenda kuwaeleza kwa muda
wa karibu saa na nusu
kuhusu freemasons, ingawa
hawakuja kutupa ripoti
kamili waliyopeleka kwa
rais moi, walituambia
kwamba wamekubali maelezo
yetu na ingekua bora kama
tungekua tunaeleza zaidi
watu wajue na tusiwe
wasiri.
FAIDA ZA KUWA FREEMASONS:
Hakuna faida za kupata pesa
kama wengi wanavyoambiwa
kwamba ukiwa freemasons
unapewa mihela, faida za
kuwa freemasons ni pamoja
na kuongeza idadi ya
marafiki na kuongeza
knowledge (ufahamu) Faida
nyingine labda ni kama
ukitoa tenda kama
unaanzisha kiwanda na
umetoa tenda ya kazi,
ukiona mmoja wa freemasons
yuko kwenye list ya
walioomba tenda utampa
kipaumbele kwa sababu
unamfahamu na ni kama
ndugu.
Hakuna utoaji wa kafara
kama inavyosemekana na pia
hakuna uhusiano kati ya
freemasons na agano la
kale.
MAMA MZAZI WA KANUMBA KUHUSU
KANUMBA KUWA FREEMASON:
Mama mzazi wa Marehemu
mwigizaji Steven Kanumba
alisema siku kadhaa baada
ya Kanumba kufariki kuna
kijana alikuja nyumbani na
kumwambia mama kwamba yeye
(kijana) ndio alimsaidia
Kanumba kujiunga na
Freemasons miaka kadhaa
iliyopita hivyo alikwenda
nyumbaniili wazungumze na
mama, mama Kanumba
alimfukuza hapohapo na
kumwambia mwanae hajawahi
kuwa freemason na
akamwambia akirudi tena
atamwitia polisi.


MISTARI YA JAY Z KWENYE WIMBO WA
FREEMASON WA RICK ROSS.
Watu wananisingizia mambo
ya kishetani, uvumi unaenea
sehemu zote, nipishe huyu
ni Mungu anafanya mambo
yake, najua mnaniogopa
Sijui wa kumwamini sala ya
maria inafanya kazi.
Mnanisingizia vitu vingi
vya kishetani lakini bado
mnapandisha sauti kubwa
mkisikiliza muziki wangu,
hizo stori zote hazina
msingi, mniache Mungu
anafanya kazi yake.
Mungu ndio injinia hapa,
asiefanya fanya dhambi
atupe jiwe la kwanza
angalieni sura zenu kwenye
vioo mnavyoonekana, Sio
kwamba mimi ni Freemason,
nilipitia tu mambo mengi
sana na Mungu anisamehe
manake nisingefika nilipo
bila kufanya dhambi,
nimeosha sura yangu kwa
maji matakatifu hii rozari
yenye shanga, tena shanga
za diamond ni uthibitisho
kwamba Mungu alinisamehe.
Mi ni mkali, acha kutazama
kwenye sahani yangu… sema
tu unatamani nilichonacho .
RIPOTI YA CNN AUGUST 2010 KUHUSU
FREEMASON:
Baadhi ya maseneta wa
majimbo kadhaa ya Marekani
walikiri kuwa ni wanachama
wa Freemason ambapo
ilifahamika kwamba Marais
12 waliowahi kuiongoza
Marekani walikua wanachama
wa Freemason ambapo pia
watu 9 kati ya waliosaini
hati ya uhuru wa Marekani
walikua freemason akiwemo
George Washington. IMEANDALIWA NA WASONGA MROMBO DJS

Maoni 7 :

  1. Tafadhal nifanye nini ili kujiunga kuwa mwanachama maana nikiandika barua cjui wapi nipeleke namba yangu hio tafadhal naomben msaad0674534849

    JibuFuta
  2. Nataka kuwa miongoni mwa masonic naomba mnisaidie namba yangu mi 0755452312

    JibuFuta
  3. Nataka kuwa miongoni mwa masonic naomba mnisaidie namba yangu mi 0755452312

    JibuFuta
  4. Nataka kuwa na mvuto wa kupendwa sana hivyo nataka kujiunga na Freemasons

    JibuFuta
  5. Natamani kuwa mmoja wa frimason ila sijui mhusika hata mmoja niko mombasa kenya 0799943515

    JibuFuta
  6. Mimi natamani kujiunga katika Freemason Ila sijui muongozo namba yangu ni hiyo 0762641730nahitaji misaada wenu

    JibuFuta
  7. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta