other blog

Jumatatu, 3 Agosti 2015

Habari za kushtukiza za ajali....rombo.

Basi kubwa la mikoani wakati litokalo rombo kwenda dar hatimaye limepata ajali ktk barabara ya rombo maeneo ya ungwasi.





Chanzo cha habari hii kinadai kuwa hakuna aliyekufa ila majeruhi ni wengi na wamekimbizwa hosptali ya wilaya ya rombo huruma hospital na mganga mganga mkuu mfawidhi anasema majeruhi wanaendelea vizuri na matibabu,, chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni mwendokasi poleni wote mlionusurika na ajali hiyo...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni