other blog

Jumanne, 4 Agosti 2015

Hatmaye samorA cosmas ndiye mgombea ubunge ccm rombo.

Baada ya mchakato mzima wa kura za maoni rombo.. mzaliwa wa useri bwana cosmas samora ameibuka kidedea huku akiwamwaga wapinzani wake... wengi.. samora ana shahada tatu na amedhamiria kuiongoza rombo na kuifikisha ktk kilele cha mafanikio..


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni