other blog

Jumapili, 23 Agosti 2015

Ni kumbukumbu nzito sana ambayo inaniumuza akili na kunipa maumivu ya moyo ....nioombeeni ndugu zangu..


Je unafahamu kua
Leo unajiombea mwenyewe. Kesho utaombewa?
Leo unatembea mwenyewe. Kesho utabebwa?
Leo unaoga mwenyewe. Kesho utaogeshwa?
Leo unaswali mwenyewe. Kesho Utaswaliwa?
Umejiandaa vipi? n kulala katika tumbo la ardhi?
Umejiandaa vipi?
na kukabiliana na maswali ya Malaika wa Kaburini, Au
Umejisahau na mapambo ya dunia bac ni tukio ambalo sintosahau pale ninapotazama kaburi la mpendwa wangu shangazi yangu .. Fabiola kimario aliyefariki dunia tarehe 4/8/2015 tegemezi pekee la maisha yangu
... nikikumbuka huwa nawasa kisha machozi yananito amini usiamini mungu yupo na anafanya kazi yake cha msingi weka roho yako safi kila wakati maana hujui saa wala dakika wa siku atakayokuja malaika kkuchukua... Amen..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni