other blog

Jumatano, 12 Agosti 2015

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA TUMA MAOMBI KABLA YA TAR 31 AGOSTI 2015

HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYATANGAZO LA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Chunya anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba kufanyakazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa nafasi zifuatazo1. MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI III- NAFASI 2.Sifa.• Awe na Elimu yo Kidato cha IV au VI.• Awe na Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:Utawala, Sheria, Elimu yo Jamii, Uhasibu, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa HomboloDodoma au chuo chochote kinachotambuliwa no serikali.• Awe na umri usiopungua mioko 18 no usiozidi miaka 40Mshahara, ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs 345,000/= kwa mwezi .MASHARTI YA JUMLA:a) Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyetivya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.b) Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.c) Picha mojo ya rangi (Passport Size).d) Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.Maombi yatumwe kwa:MKURUGENZI MTENDAJI WILAYAS.L.P. 73,CHUNYA.SOURCE; MWANANCHI 7THAUGUST 2015============HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYATANGAZO LA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Chunya anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba kufanyakazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa nafasi zifuatazo2. KATIBU MUHTASI III- NAFASI 1.Sifa:• Awe na elimu yo kidato cha IV au VI• Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili.• Awe amefaulu masomo ya hati Mkato, Kiingereza no Kiswahili, Maneno 80 kwa dakika mojo.• Awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya Computer katika chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, e.mail no Publisher .• Awe na umri usiopungua miaka 18 no usiozidi miaka 40Mshahara: Ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs. 345,OOO/=kwa mwezi.MASHARTI YA JUMLA:a) Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyetivya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.b) Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.c) Picha mojo ya rangi (Passport Size).d) Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.Maombi yatumwe kwa:MKURUGENZI MTENDAJI WILAYAS.L.P. 73,CHUNYA.SOURCE; MWANANCHI 7THAUGUST 2015============HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYATANGAZO LA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Chunya anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba kufanyakazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa nafasi zifuatazo3. DEREVA DARAJA II NAFASI 1.Sifa:• Awe na elimu ya kidato cha IV au VI• Awe ao leseni daraja"C".• Awe na uzoefu Wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali .• Awe na cheti cha majaribio yo ufundi daraja II.• Awe na umri usiopungua .miaka 18 na usiozidi miaka 40Mshahara: Ngazi yo mshahara TGOS A sawa na Tshs 285,000/= kwa mweziMASHARTI YA JUMLA:a) Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyetivya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.b) Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.c) Picha mojo ya rangi (Passport Size).d) Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.Maombi yatumwe kwa:MKURUGENZI MTENDAJI WILAYAS.L.P. 73,CHUNYA.SOURCE; MWANANCHI 7THAUGUST 2015============

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni