other blog

Jumanne, 4 Agosti 2015

Tangazo la kifo...fabiola honnory kimario

Mhariri mkuu wa eagle fm bwana erasmi kimario anasikitika kutangaza kifo cha shangazi yake mpendwa fabiola h kimario, kilichotokea jana ktk hospitali ya uzazi seketule.. iliyopo mwanza mjini.. taratibu za masishi zinaendelea tutawaatarifu pindi utakapo kamilika.. inaelezwa kuwa chanzo cha kifo chake ni ectopic pregnans ambayo ilisababisha yeye pamoja na mtoto kupoteza maisha... habari ziwafikie wanaeagle group popote walipo, ndugu, jamaa na marafiki popote walipo.. marehemu ameacha watoto watatu wote wa kike..SHANGAZI FABIOLA TULIKUPENDA LA MUNGU ANA UPENDO ZAIDI YETU. PUMZIKA KWA AMANI PEPONI AMEN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni