other blog

Jumatatu, 27 Februari 2017

AJIRA SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI { TANGAZO JIPYA} SHULE YA MERIT DARESAALAM

Mkurugrnzi mtendaji wa shule ya msingi MERIT anayo furaha kukaribisha maombi ya kazi kwa  wahitimu wa  vyuo mbalimbali na vyuo vya ualimu pia na waalimu ... MERIT  ni shule ambayo inasifika kwa utoaji wa elimu thabithi na yenye ushindani tanzania...   nafasi zinazotangazwa ni pamoja  na UALIMU NGAZI YA CHEKECHEA NA UALIMU WA MSINGI KUANZIA DARASA LA KWANZA HADI SABA ...  muombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo :-

1.AWE NA CHETI AU DIPLOMA YA UALIMU KUTOKA CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIKA 

2. AWE MTANZANIA  MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 25 -45

3. AKIWA MGENI WA KENYA AU UGANDA BASI AWE NA VIBALI VYOTE VINAVYOMWEZESHA KUISHI HAPA NCHINI

4.AWE NA ANGALAU UZOEFU WOWOTE WA ELIMU  NA JINSI YA KUWALEA WATOTO KIMAADILI

mwenye sifa tajwa hapo juu anaombwa  kutuma maombi kupitia anuani ifuatayo .... mwisho wa kupokea maombi tarehe 5 mwezi wa tatu 2017

SCHOOL PRINCIPAL 
MERIT SCHOOL OF TANZANIA 
P.O.BOX 652011
DAR-ES-SALAAM.

AU KWA BARUA PEPE IFUATAYO meritschool@gmail.com 

AU LETA BARUA YAKO KWA MKONO KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MKABALA KABISA NA HOSPITALI YA KIBAMBA ...  AHSANTE NA KARIBUNI MERIT SCHOOL.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni