other blog

Jumatano, 3 Agosti 2016

Mashirika ya kitawa kwa wote mnaotaka kuwa watawa

karibuni wote mjiunge na utawa maisha matakatifu ni maisha ya kazi na sala wanaotaka kuwa mabruda ... waandike barua kwa anuani ifuatayo mkurugenzi , scim brothers, s.l.p 29 Tosamaganga, Iringa. kumbuka kigezo uwe tu hujaoa na pia uwe umehitimu kidato cha nne. pia lipo shirika la mtakatifu carmel lilopo bunju kwa  malezi ya kipadre wote wenye nia mnaombwa kutuma maombi yenu kwa mkurugenzi tz kwa mawasiliano zaidi watumie email carmelitestz@gmail.com na Kwa upande wa masisita soma kibandiko cha mtakatifu consolata missionery kwa malezi ya kisista yaani utawa wa kwanza na pia shirika la mtakatifu charles borromeo

kumbuka mabruda na masista lazima uwe mhitimu wa kidato cha nne. pia uwe hujaoa wala hujazaaa  na kwa upande wa upadre lazima uwe mhitimu wa kidato cha sita na kufaulu uwezo wa kwenda chuo kikuuu ... karibuni utawani tujifunze maisha halisi ya bwana wetu yesu kristo.. Tumsifu yesu kristo .... kwa maelezo zaidi usisite kunipigia simu 0743719830

Maoni 11 :

  1. Tumsifu Yesu Kristo,Naomba kujua kama mtu ana wito wa kuwa padre na umri wake umevuka miaka 36,anaweza kuwa Padre bado?

    JibuFuta
    Majibu
    1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
  2. Mimi napenda kuwa padre ila mimi ni mkimbizi hapa tz

    JibuFuta
  3. Isaack said tokea sumbawanga kidato cha sita namb 0622154991

    JibuFuta
  4. Kwa wale wa darasa la Saba taratibu zinakuwaje

    JibuFuta
  5. Mimi natoka kenya naruhusiwa kujiunga na ubruda?

    JibuFuta
  6. Am from Arusha,and amaleady complete my ordinary level my number 0673812233
    Please contact me 18 years old

    JibuFuta
  7. Nimemaliza kidatocha nne na nna division 3 napenda Sana kuwa Padre katika maisha yangu. Kwa Sasa nipo geita masumbwe

    JibuFuta
  8. Naomba Anua I yenu au no ya Simu ya Mkurugenzi wa Miito

    JibuFuta
  9. Naitwa deo napenda kuwa Padre namba yangu ni 0625768728 npo mwanza

    JibuFuta