other blog

Jumapili, 2 Agosti 2015

Tangazo la nafasi za masomo Ualimu...


Mkuu wa chuo cha northern highland teachers college anatangaza nafasi za masomo katika kozi za elimu. Kozi zitolewaso ni kama zifuatazo
1.diploma in primary education (DPE) miaka 3 sifa za mwombaji awe amemaliza kidato cha nne na kufaulu kwa kiwango cha angalau c moja na d zote katika masomo yote pass 0.7 na kwa wa mwaka wa 2013 ni divission 3 mwisho 31 na pia 2012 ni 3 mwisho 25,
2.Diploma in secondary education (DSE) awe amemaliza kidato cha sita na kufaulu masomo matatu muda wa kozi ni miaka 2
3.Special gatc. Grade A tearcher in eanglish medium teacher awe na ufaulu wa angalau masomo matatu katika mtihani wa kidato cha nne. Muda wa masomo 2 years.
4.early child hood education. (ECDE) AWE mhitimu wa kidato cha nne na awe amefaulu hata somo moja.. muda wa masomo ni 1years.

GHARAMA ZETU ZA ADA NI NAFUU KABISA NA ZINAMJALI ZAIDI MKULIMA YAANI UNALIPA KIDOGOKIDOGO MPAKA ATAKAPOMALIZA... KOZI, MALAZI NA CHAKULA NDIO FAHARI YETU... FIKA KTK SHULE YA SEKONDARI YA NOTHERN HIGHLANDA IKIOPO MOSHI MJINI MKABALA NA BARABARA YA ARUSHA ROAD, AU FIKA PIA CHUONI BARABARA YA SOWETO MKABALA NA UWANJA WA NDEGE MOSHI, KUCHUKUA FOMU AU TUPIGIE SIMU NAMBA ZIFUATAZO KWA MSAADA ZAIDI 0712914558, 0763914558, 0714547479, 0768527419 ewe mzazi mlete mwanao nothern highland teachers college kwa elimu bora kwani tunaongoza kisha wengine wanafuata... karibuni

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni