other blog

Jumanne, 4 Agosti 2015

Di maria afurahia kujiunga na PSG


Winga wa Timu ya taifa,Argentina Angel Di MariaWinga wa timu ya taifa ya Argentina Angel Di maria amefurahishwa na uhamisho wake toka Manchester United na kujiunga na matajiri wa Psg.Nyota huyu mwenye umri wa miaka 27 alifanyiwa vipimo vya afya huko Qatar na kukamilisha uhamisho wake uliogharimu kiasicha pauni milioni 44.3.Baada ya uhamisho huo kukamilika Di Maria alisema ana furaha kujiunga na Paris St –German .Lakini vilabu vya Manchester United na Psg havijatangaza rasmi kukamilika kwa uhamisho huo .Di Maria alijiunga na mashetani wekundu msimu uliopita akitokeaReal Madrid ambapo alicheza michezo 32 na kufunga mabao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni