other blog

Jumapili, 2 Agosti 2015

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAR 21/08/2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA WILAYA YA SAMETANGAZO LA NAFASI ZA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Same anawatangazia nafasiishirini na nne (24) za kazi. Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 18)SIFA ZA MWOMBAJI• Awe na elimu ya kidato cha IV/VI• Awe amehitimu mafunzo ya cheti/Astashahada katika fani ya Utawala, sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na SerikaliKAZI NA MAJUKUMU• Atakuwa ni Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa serikali ya Kijiji• Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa Amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji• Kuwa katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji• Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu katika kijiji• Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa umaskini, njaa na kuongeza uzalishaji mali• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji• Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya kitaalamu katikakijijiNgazi ya mshahara; TGS BUTARATIBU WA UOMBAJI• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya Same• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (CV)• Waombaji waliosoma nje ya Nchi waambatanisheuthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA)• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45• Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (originalcertificate)• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuNB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayoMKURUGENZI MTENDAJI (W)HALMASHAURI YA WILAYA YA SAMES.L.P 138SAMEMWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 21.08.2015 SAA 9:30 ALASIRISOURCE; HABARI LEO 31ST JULY 2015===========JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA WILAYA YA SAMETANGAZO LA NAFASI ZA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Same anawatangazia nafasiishirini na nne (24) za kazi. Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 3)SIFA ZA MWOMBAJI• Awe na elimu ya kidato cha IV/VI• Awe cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya Masjala kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikaliKAZI NA MAJUKUMU• Kutafuta kumbukumbu/ nyaraka/ majalada yanayohitajiwa na wasomaji• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo husika kwa ajili ya matumizi ya ofisi• Kuweka/kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika reki• Kuweka kumbukumbu katika majalada• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/ nyaraka kutoka Taasisi za SerikaliNgazi ya mshahara; TGS BUTARATIBU WA UOMBAJI• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya Same• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (CV)• Waombaji waliosoma nje ya Nchi waambatanisheuthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA)• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45• Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (originalcertificate)• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuNB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayoMKURUGENZI MTENDAJI (W)HALMASHAURI YA WILAYA YA SAMES.L.P 138SAMEMWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 21.08.2015 SAA 9:30 ALASIRISOURCE; HABARI LEO 31ST JULY 2015==========JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA WILAYA YA SAMETANGAZO LA NAFASI ZA KAZIMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Same anawatangazia nafasiishirini na nne (24) za kazi. Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili3. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (NAFASI 2)SIFA ZA MWOMBAJI• Awe na elimu ya kidato cha IV• Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu.• Awe amefaulu somo la Hatimkata ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja• Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za windows,Microsoft Office, Internet, E-mail na PublisherKAZI NA MAJUKUMU• Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida• Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa• Kusaidia kutunza taarifa /kumbukumbu za matukio, mladi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratibaya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake kwa wakati unaohitajika• Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapoofisini• Kusaidia kufikisha maelezo ya mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokua amepewa na wasaidizi hao• Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika• Kutekeleza kazi zozote atakazokua amepangiwa namsimamizi wake wa kaziNgazi ya mshahara; TGS BUTARATIBU WA UOMBAJI• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya Same• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (CV)• Waombaji waliosoma nje ya Nchi waambatanisheuthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA)• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 45• Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (originalcertificate)• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuNB; maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayoMKURUGENZI MTENDAJI (W)HALMASHAURI YA WILAYA YA SAMES.L.P 138SAMEMWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 21.08.2015 SAA 9:30 ALASIRISOURCE; HABARI LEO 31ST JULY 2015===============

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni