other blog

Jumamosi, 15 Agosti 2015

Eagle fm inakuletea maonyesho vipaji mbalimbali... mashindano haya yataanza jtano jioni wiki..

Mkurugenzi mkuu wa eaglefm

Amezindua rasmi shindano la

Litakaloanza wiki ijayo siku jtano katika viwanja northern highland tearchers college....

Washiriki wapo ishirini na majaji watatu wa kwanza kufungua jukwaa ni mti wa matunda a.k.a nasibu abduli, wa pili ni oletembala master a.k.a lina wa rombo na watatu ni rachel wa nashukuru kutoka marangu na wengne kibao... kazi yao ni kufanya yao to show

Majaji ni rizik malya mkongwe wa comedy, pastor lyamuya mzee wa maombi na muimbaji kwaya maarufu kilema, vunjo na baraka de classic chipukizi anaeulewa muziki wanakazi ya

KUMBUKA ni ndani yA northen highland college... kiingilio na bureeeeeeee hii si ya kukosa fika uwatambue mastaa wa killimanjaro mashindano haya yamedhaminiwa na mkurugenzi wa chuo cha ualimu northern hiland ndugu malya.. na kuletwa kwenu na eagle fm

TUNAOMBA MCHANGO WENU WA HALI NA MALI ILI KUFANIKISHA TUNZO KWA WASHINDI,,CHANGIA MCHANGO WAKO M.PESA KUPITIA NUMBER +255768527419 SISI WANAEAGLE TUTAKUSHUKURU NA PIA TUTASONGA MBELE...


EAGLE FM

tunaruka pamoja

Tunacheza pamoja.


We are all same


AHASANTENI SANA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni