other blog

Jumatano, 19 Agosti 2015

Hatimaye wakazi wa rombo walalamika njaa . Nimezungumza na mmoja wao mr aloisi yovini a.k.a bunga.


Akizungumza na mwandishi wetu ndugu aloisi yovin mkazi wa kijiji cha olele wilayani rombo alisema ng'ombe wake wamekufa njaa nA yeye pia ameandamwa na majukumu kibao ya kutunza watoto... ndugu aloisi amelilia serikaki akisema itabidi iwasaidie... amezungumza kuhusu siasa na kusema kwamba tangu selasini achukue jimbo la rombo ile misaadA ya kuwapiga taafu kama vile mahindi na mbolea vimekuwa havopo badala yake wanalia njaa sana....

Amesema yeye anampenda sana lowasa na,pia yupo tayari kipigana hadi kumuona lowasa anaingia madarakani ilj kulikomboa jimbo la,rombo kiuchumi na kimaendeleo ... akinukuu kauli yA ccm kwamba oil chafu imejichuja yeye anasema oil chafu ni kiboko ya mchwa na kuhusu selasini yeye amesema hataki hata kumsikia selasini na badala yake anamwona kijana machachari kijana cosmas samora..

Mwenye dhana ya kuikomboa rombo kupitia ccm na sio selasini tena mtu ambaye anaonekana makanisani tu na kutoa sadaka .. sipo tayari kuendelea na umaskini kwa kuchagua viongozi feki... mifugo yangu inaangamia, duka langu TRA WAMEMALIZA,, ruzuku nmbolea zinaishia kwa makatibu kata , wezi wanatuua rombo tumekimbia wote.. huku nikisikia police wanato ushirikiano mkubwa na hao watu sababu watu wanauawa.. wauaji wapo hapa mtaani na wala hawachukuliwi hatua yoyote badala yake hao police ni kuzuia maandamo ya chadema na kupiga watu mabomu tu ... police kweli wapo kisiasa zaidi.. hakuna,wanalolifanya... eeeh baba waonyeshe watanzania kiongozi atakaye leta mabadiliko ya,kweli.. nchi ni yetu lakini tumeichoka kila xehemu rushwa imejaa baba tuonyeshe kiongozi wa kweli atakayefuatilia kila jambo kuanzia,halimashauri ya kijiji hadi wizarani. Alimaliza kwa uchungu ndugu alois m yovini a.k.a bunga wa rombo kata ya olele.. imeandaliwa na wasonga mrombo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni