other blog

Jumanne, 25 Agosti 2015

NAFASI ZA

HALIMASHAURI YA WILAYA YA
MAKETE
NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (Wilaya ya
Makete kupitia kibali cha ajira
mpya kilichotolewa na Katibu
Mkuu - Utumishi Kumb. Na.
CB.170/363/01 /1/36 anapenda
kuwatangazia wananchi wote
wenye sifa za kuajiriwa kuleta
maombi yao ya kazi kwa nafasi
zifuatazo:-
1. Mtendaji Wa Kijiji III -
NAFASI 20
Majukumu ya Kazi
• Kuwa Afisa Mashuhuli na
Mtendaji Mkuu wa Serikali ya
Kijiji
• Kusimamia ulinzi na usalama.
• Kusimamia utawala bora
katika Kijiji
• Kuwa katibu wa mikutano na
kamati zate za Halmashauri ya
Kijiji
• Kutafsiri na kusimamia sera,
sheria na taratibu zinazoongoza
Serikali ya Kijiji
• Kusimamia, kukusanya na
kuhiladhi kumbukumbu zote na
nyaraka za Kijiji.
Ngazi ya Mshahara
Kwa kuzingatia viwango vya
Serikali ngazi ya mshahara ya
TGS B kwa mwezi.
Sifa za Mwombaji
Mhitimu wa kidato cha nne au
sita waliohitimu mafunzo ya
cheti katika moja ya fani za
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii,
Usimamizi wa fedha, Maendeleo
ya jamii au Sayansi ya Sanaa
kutaka Chuo cha Serikari za
Mitaa Hombolo, Dodoma au
Chua chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
============
2. Afisa Maendeleo Ya Jamii
Msaidizi III- NAFASI 19
Majukumu ya Kazi
• Kuratibu shughuli zote za
Maendeleo ya jamii katika Kata
kwa kuzingatia jinsia.
• Kuhamasisha kuondokana na
mila/desturi potofu katika jamii.
• Kuelimisha jamii juu ya
kutekeleza masuala ya kijinsia
• Kuelimisha jamii kuhusu
masuala ya watoto .
• Kukusanya, kuchambua na
kuweka takwimu za Kata
zinazozingatia jinsia
zitakazotumika katika mipango
ya maendeleo.
• Kuhamasisha jamii juu ya
kutumia teknolojia rahisi na
sahihi.
Ngazi ya mshahara
Kwa kuzingatia viwango vya
Serikali ngazi ya mshahara TGS B
kwa mwezi
Sifa za mwombaji
Wahitimu wa kidoto cha nne au
sita waliohitimu mafunzo ya
cheti cha Maendeleo ya Jcmii
kutoka vyuo vinavyotambulika
na Serikali.
================
3. Msaidizi Wa Kumbukumbu
II -NAFASI 4
Majukumu ya Kazi
• Kutafuta kumbukumbu/
nyaraka/ mafaili yanayohitajika
na watumiaji
• Kupokea, kuandikisha na
kutawanya .barua au nyaraka
mbalimbali.
• Kupanga nyaraka mbalimbali
katika reki na makabati ya
kuhifadhia nyaraka.•
• Kuweka kumbukumbu (barua
na nyaraka) katika mafaili.
• Kushughulikia maombi ya
kumbukumbuku/nyaraka kutoka
ndani ya Halmashauri na taasisi
za nje ya Halmashauri.
Ngazi ya mshahara
Kwa kuzingatia viwango vya
Serikali ngazi ya mshahara ya
TGS B kwa rt1V>ezi.
Sifa za mwombaji
Wahitimu wa kidato cha nne au
sita waliohitimu mafunzo ya
cheti cha utunzaji wa
kumbukumbu katika fani za Afya,
Ardhi, Mahakama au Masjala
kutoka Chuo cha Utumishi wa
Umma, Dar es Salaam au Chuo
chochote kinachotambuliwa na
Serikali. -
==============
4. Katibu Mahsusi III -
NAFASI 7
Majukumu ya Kazi
• Kuchapa barua, taarifa na
nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni
kuwasikiliza shida zao na
kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa.
• Kusaidia kutunza taarifa za
matukio, miradi-waqeni, tarehe
za vikao na safari za Mkuu wake
kazini.
• Kusaidia kutafuta na
kumpatia Mkuu wake majalada
au nyaraka zinazohitajika kwa
shughuli za kiofisi.
• Kusaidia kupokea na
kuyasambaza majalada sehemu
zinazohusika
• Kusaidia kufikisha maelekezo
ya Mkuu wake wa kazi kwa
wasaidizi wake na pia kumpatia
mrejesho wa maagizo
yaliyotolewa.
Ngazi ya mshahara
Kwa kuzingatia viwango vya
Serikoli ngazi ya mshahara ya
TGS B kwa mwezi
Sifa ya Mwombaji
Wahitimu wa kidato cha nne au
sita waliohitimu mafunzo ya
cheti cha Uhazili ngazi ya III na
kupata Cheti katika Programu za
Windows, Microsoft Office,
Internet, E-mail na Publisher.
Aidha, woombo]i wawe
wamefaulu somo la Hatimkato ya
maneno BO [kwo dakika moja).
Masharti ya Ujumla
• Waombaji wote wawe ni raia
wa Tanzania
• Waombaji wote
waambatanishe nakala ya cheti
cha kuzaliwa
• Waombaji wote
waambatanishe na maelezo
binafsi (CV)
• Waombaji waambatanishe
picha 1 "Passport Size" ya hivi
karibuni na nakala za vyeti halisi.
• Transcript "Testmonials" na
"Provisional Results" au
Statement of Results
havitakubaliwa. .
• Mwombaji awe na urnri
usiozidi miaka 45 na usiopungua
miaka 18.
Maombi yatumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya
Makete,
S.L.P.6,
Makete.
Maombi yawasilishwe kabla au
mnamo tarehe 31/08/2015 soa
9:30 A1asiri. Maombi
yatakayowasilishwa baada ya
tarehe na muda uliopangwa
hayatafanyiwa kazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni