other blog

Jumatano, 5 Agosti 2015

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA TUMA MAOMBI KABLA YA 18/08/2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZNIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWARA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHATANGAZO LA NAFASI ZA KAZIHalmashauri ya Jiji la Arusha imepokea kibali chaajira mpya kumb. Na. CB.170/371/01/’H’/76 cha tarehe 13/07/2015. Hivyo, Mkurugenzi wa Jiji anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kutuma maombi ya nafasi ya Mtendaji wa Mtaa.NAFASI; MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA II – NAFASI 46SIFA ZA MWOMBAJIa) Awe na elimu ya Kidatocha IV au VIb) Awe amehitimu stashahada katika moja ya fani zifuatazo; Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya Jamii kutoka kaitika chuo cha serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikalic) Awe na umri usiozidi miaka 45Kazi na Majukumu ya Mtendaji wa Mtaaa) Katibu wa kamati ya mtaab) Mtendaji mkuu wa mtaac) Mratibu wa utekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaad) Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaae) Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu masuala ya ulinzi na usalamaf) Msimamizi wa utekelezaji wa Mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika mtaag) Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi woteh) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa nai) Atawajibika kwa mtendaji wa kataMshaharaNgazi ya TGS.C sawa na Sh 525,000/= kwa MweziMaelezo ya Jumlaa) Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwab) Mwisho wa kupokea maombi ni tar 18/08/2015 saa 9.30 alasiric) Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayoMKURUGENZI WA JIJIHALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHAS.L.P 3013ARUSHASOURCE; DAILY NEWS 04THAUGUST 2015===========

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni