HALMASHAURI YA WILAYA YA
BUSEGA
TANGAZO LA KAZI
(Barua zote zipelekwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji)
Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Busega
anapenda kuwatangazia
watanzania wote wenye sifa na
nia ya kufanya kazi katika
Halmashauri ya Wilaya ya Busega
kuomba nafasi zifuatazo:-
DRERVA NAFASI 3
SIFA/ELIMU/UJUZI
i. Awe na cheti cha kidato cha
nne (IV)
ii. Awe na Leseni dalaja la “C”
ya uendeshaji magari
iii. Awe na uzoefu wa
kuendesha magari kwa muda
usiopungua miaka mitatu (3) bila
kusababisha ajari.
iv. Awe na cheti cha majaribio
ya ufundi darafa la II.
KAZI NA MAJUKUMU
i. Kuendesha magari ya aina
zote katika Halmashauri.
ii. Kuhakikisha gari na vyombo
vyake vipo katika hali nzuri
wakati wote na kufanya
uchunguzi wa gari kabla na baada
ya safari ili kugundua ubovu
unaohitaji matengenezo.
iii. Kufanya matengenezo
madogomadogo katika gari.
iv. Kutunza na kuandika daftari
la safari (Log-Book) kwa safari
zote.
NGAZI YA MSHAHARA
Kianzio cha Mshahara TGOS A (1)
UMRI
Mwombaji awe na umre
usiopungua miaka 18 na usiozidi
miaka 45.
MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe
yakiwa yameambatanishwa na
CV pamoja na nakala za vyeti vya
kuhitimu elimu na mafunzo
(vyeti vinavoonyeshwa kiwango
cha ufaulu na sio (leaving
certificate).
MUHIMU
Muombaji anatakiwa atume vyeti
vyake halisi na halali kwani
uhakiki utafanyika katika vyuo
ulivyopitia na Baraza la Mitihani.
Udanyanyifu wowote ukibainika
hatua za kisheria zitachukuliwa.
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 157
BUSEGA
Mwisho wa kupokea maombi ni
tarehe 25/09/2015 saa 9:30
Alasiri.
Source: Mwananchi 11th
September, 2015
BUSEGA
TANGAZO LA KAZI
(Barua zote zipelekwe kwa
Mkurugenzi Mtendaji)
Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Busega
anapenda kuwatangazia
watanzania wote wenye sifa na
nia ya kufanya kazi katika
Halmashauri ya Wilaya ya Busega
kuomba nafasi zifuatazo:-
DRERVA NAFASI 3
SIFA/ELIMU/UJUZI
i. Awe na cheti cha kidato cha
nne (IV)
ii. Awe na Leseni dalaja la “C”
ya uendeshaji magari
iii. Awe na uzoefu wa
kuendesha magari kwa muda
usiopungua miaka mitatu (3) bila
kusababisha ajari.
iv. Awe na cheti cha majaribio
ya ufundi darafa la II.
KAZI NA MAJUKUMU
i. Kuendesha magari ya aina
zote katika Halmashauri.
ii. Kuhakikisha gari na vyombo
vyake vipo katika hali nzuri
wakati wote na kufanya
uchunguzi wa gari kabla na baada
ya safari ili kugundua ubovu
unaohitaji matengenezo.
iii. Kufanya matengenezo
madogomadogo katika gari.
iv. Kutunza na kuandika daftari
la safari (Log-Book) kwa safari
zote.
NGAZI YA MSHAHARA
Kianzio cha Mshahara TGOS A (1)
UMRI
Mwombaji awe na umre
usiopungua miaka 18 na usiozidi
miaka 45.
MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe
yakiwa yameambatanishwa na
CV pamoja na nakala za vyeti vya
kuhitimu elimu na mafunzo
(vyeti vinavoonyeshwa kiwango
cha ufaulu na sio (leaving
certificate).
MUHIMU
Muombaji anatakiwa atume vyeti
vyake halisi na halali kwani
uhakiki utafanyika katika vyuo
ulivyopitia na Baraza la Mitihani.
Udanyanyifu wowote ukibainika
hatua za kisheria zitachukuliwa.
Maombi yote yatumwe kwa
Mkurugenzi
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 157
BUSEGA
Mwisho wa kupokea maombi ni
tarehe 25/09/2015 saa 9:30
Alasiri.
Source: Mwananchi 11th
September, 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni