HALMASHAURI YA MAJI WA
BARIADI
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashaya Maji
wa Bariadi anatangaza nafasi za
kazi themanini na moja (81).
Maombi ya kujaza nafasi tajwa
hapa chini yanakaribishwa
kutoka kwa mtanzania yeyote
mwenye sifa zilizotajwa katika
tangazo hili.
Nafasi zinazotangazwa ni kama
ifuatavyo:-
1. MTENDAJE WA MTAA III
(NAFASI 73)
Ngazi ya Mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyehitimu mafunzo ya
Astashahada/cheti katika moja ya
fani zifuatazo:- Utawala, Sheria,
Elimu ya Jamii, Usimamizi wa
Fedha, Maendeleo ya Jamii na
Sayansi ya sanaa kutoka chuo
cha Serikali za Mitaa Hombolo,
Dodoma au chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali.
MAJUKUMU
• Kuratibu na kutekeleza Sera
na Sheria zinazotekelezwa na
Halmashauri.
• Kuishauri kamati ya
maendeleo ya Mtaa kuhusu
Mipango ya Maendeleo katika
Mtaa.
• Kusimamia utekelezaji wa
Sheria ndogo na sheria
zinazotumika katika Mtaa.
• Kusiamia ukusanyaji wa
mapato ya Halmashauri.
• Kutekeleza na kusimamia
shughuli za maendeleo katika
Mtaa.
• Kusimamia ulinzi na usalama
wa raia na mali zao.
============
2. MAENDELEO YA JAMII
MSAIDIZI III (NAFASI 3)
Ngazi ya mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyefuzu mafunzo ya
Stashahada (Diploma) kwenye
fani ya Maendeleo ya Jamii
kutoka vyuo vya Maendeleo ya
Jamii au vyuo vingine
vinavyotambuliwa na serikali.
MAJUKUMU
• Kuratibu shughuli za
maendeleo ya jamii katika mtaa
zikiwemo za wanawake na
watoto.
• Kuhamasisha na
kuwawezesha wananchi kupanga
na kutekeleza kazi za
maendeleo.
• Kuwezesha jamii kubuni,
kupang, kutekeleza na
kusimamia miradi ya
maendeleo.
• Kusaidia kuunda vikundi vya
kijamii na kimaendeleo.
===========
3. MSAIDIZI WA
KUMBUKUMBU DARAJA LA II
(NAFASI 5)
Nafasi 3 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya
kawaida.
Nafasi 1 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya Ardhi.
Nafasi 1 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya Afya.
Ngazi ya mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyefuzu mafunzo ya cheti
cha utunzaji kumbukumbu katika
mojawapo ya fani za masijala ya
kawaida, Afya na Ardhi.
MAJUKUMU
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya kawaida
• Kutafuta kumbukumbu/
majalada yanayohitajiwa na
wasomaji
• Kuweka kumbukumbu (barua,
nyaraka nk.) katika majalada.
• Kuweka majalada katika
makundi.
• Kudhibiti upokeaji,
uandikishaji wa kumbukumbu/
Nyaraka.
• Kuweka kupanga
kumbukumbu sehemu ya
kuhifadhia.
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya Ardhi
• Kushughulikia madai/
malalamiko ya hati za viwanja na
kutunza kumbukumbu zake.
• Kutunza kumbukumbu za
cadastral surveys na mahesabu
yake.
• Kuandaa nakala za cadastral
site plans.
• Kutunza miongozo ya ramani
na viwanja.
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya Afya
• Kutafuta kumbukumbu/
majalada yanayohitajiwa na
wasomaji.
• Kushughulikia mapokezi ya
wagonjwa wa ndani na nje.
• Kukusanya kukagua na
kuhifadhi taarifa mbalimbali za
wodi za wafonjwa
SIFA NYINGINE ZA JUMLA
i. Mwombaji awe raia wa
Tanzania.
ii. Awe na umri wa kati ya
miaka 18 na 40.
iii. Maimbi yake yaambatishwe
picha (passport size) na vielelezo
vya sifa zake.
iv. Cheti cha kuzaliwa
kinambatishwe pia.
Maombi yote yatumwe kwa njia
ya posta kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi
Hlmashauri ya Mji
S.L.P 526
BARIADI
Mwisho wa kupokea maombi ni
tarehe 12.10.2015 saa tisa na
nusu alasiri.
Source: Mwananchi 21st
September, 2015
BARIADI
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashaya Maji
wa Bariadi anatangaza nafasi za
kazi themanini na moja (81).
Maombi ya kujaza nafasi tajwa
hapa chini yanakaribishwa
kutoka kwa mtanzania yeyote
mwenye sifa zilizotajwa katika
tangazo hili.
Nafasi zinazotangazwa ni kama
ifuatavyo:-
1. MTENDAJE WA MTAA III
(NAFASI 73)
Ngazi ya Mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyehitimu mafunzo ya
Astashahada/cheti katika moja ya
fani zifuatazo:- Utawala, Sheria,
Elimu ya Jamii, Usimamizi wa
Fedha, Maendeleo ya Jamii na
Sayansi ya sanaa kutoka chuo
cha Serikali za Mitaa Hombolo,
Dodoma au chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali.
MAJUKUMU
• Kuratibu na kutekeleza Sera
na Sheria zinazotekelezwa na
Halmashauri.
• Kuishauri kamati ya
maendeleo ya Mtaa kuhusu
Mipango ya Maendeleo katika
Mtaa.
• Kusimamia utekelezaji wa
Sheria ndogo na sheria
zinazotumika katika Mtaa.
• Kusiamia ukusanyaji wa
mapato ya Halmashauri.
• Kutekeleza na kusimamia
shughuli za maendeleo katika
Mtaa.
• Kusimamia ulinzi na usalama
wa raia na mali zao.
============
2. MAENDELEO YA JAMII
MSAIDIZI III (NAFASI 3)
Ngazi ya mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyefuzu mafunzo ya
Stashahada (Diploma) kwenye
fani ya Maendeleo ya Jamii
kutoka vyuo vya Maendeleo ya
Jamii au vyuo vingine
vinavyotambuliwa na serikali.
MAJUKUMU
• Kuratibu shughuli za
maendeleo ya jamii katika mtaa
zikiwemo za wanawake na
watoto.
• Kuhamasisha na
kuwawezesha wananchi kupanga
na kutekeleza kazi za
maendeleo.
• Kuwezesha jamii kubuni,
kupang, kutekeleza na
kusimamia miradi ya
maendeleo.
• Kusaidia kuunda vikundi vya
kijamii na kimaendeleo.
===========
3. MSAIDIZI WA
KUMBUKUMBU DARAJA LA II
(NAFASI 5)
Nafasi 3 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya
kawaida.
Nafasi 1 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya Ardhi.
Nafasi 1 Msaidizi wa
kumbukumbu masijala ya Afya.
Ngazi ya mshahara: TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe amehitimu Elimu ya
Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
• Aliyefuzu mafunzo ya cheti
cha utunzaji kumbukumbu katika
mojawapo ya fani za masijala ya
kawaida, Afya na Ardhi.
MAJUKUMU
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya kawaida
• Kutafuta kumbukumbu/
majalada yanayohitajiwa na
wasomaji
• Kuweka kumbukumbu (barua,
nyaraka nk.) katika majalada.
• Kuweka majalada katika
makundi.
• Kudhibiti upokeaji,
uandikishaji wa kumbukumbu/
Nyaraka.
• Kuweka kupanga
kumbukumbu sehemu ya
kuhifadhia.
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya Ardhi
• Kushughulikia madai/
malalamiko ya hati za viwanja na
kutunza kumbukumbu zake.
• Kutunza kumbukumbu za
cadastral surveys na mahesabu
yake.
• Kuandaa nakala za cadastral
site plans.
• Kutunza miongozo ya ramani
na viwanja.
Msaidizi wa kumbukumbu
masijala ya Afya
• Kutafuta kumbukumbu/
majalada yanayohitajiwa na
wasomaji.
• Kushughulikia mapokezi ya
wagonjwa wa ndani na nje.
• Kukusanya kukagua na
kuhifadhi taarifa mbalimbali za
wodi za wafonjwa
SIFA NYINGINE ZA JUMLA
i. Mwombaji awe raia wa
Tanzania.
ii. Awe na umri wa kati ya
miaka 18 na 40.
iii. Maimbi yake yaambatishwe
picha (passport size) na vielelezo
vya sifa zake.
iv. Cheti cha kuzaliwa
kinambatishwe pia.
Maombi yote yatumwe kwa njia
ya posta kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi
Hlmashauri ya Mji
S.L.P 526
BARIADI
Mwisho wa kupokea maombi ni
tarehe 12.10.2015 saa tisa na
nusu alasiri.
Source: Mwananchi 21st
September, 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni