NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAR 30/08/2015font sizePrintEmailHALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa1. Mtendaji wa Mtaa daraja la III Ngazi ya Mshahara TGS B (nafasi (97)Sifa zinazotakiwa• Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI)• Aliyehitimu mafunzo yo Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka cha Serikali za mitaa Dodoma au Chuo kinachotambuliwa na Serikali.Kazi atakazofanya• Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Mtaa• Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na mali zao• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya mitaa• Katibu wa mikutano wa kamati zote za Halmashauriya Mtaa• Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za mtaa.Utaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa2. Mtendaji wa Kijiji Daraja Ia III Ngazi ya Mshahara TGS B nafasi 13• Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI)• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo, Utawala, Sheria, Maendeleoya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.Kazi atakazofanya• Afisa Masuuli na mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji• Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na mali zao kuwa mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala bora katika Kijiji.• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo yo Kijiji.• Katibu wa mikutano wa kamati zote za Halmashauriya Kijiji.• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.• Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali.• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalam katika Kijiji.• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.• Mwenyekiti wa kikao chawataalam waliopo katika Kijiji• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.• Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za Kijiji Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.Utaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa3. Mtendaji Kata Daraja LaIII TGS D nafasi 1Sifa za kuingiliaKuajiriwa wenye Shahada/stashahada yo Juukatika moja ya fani zifuatazo ; Utawala,Rasilimali watu,Sheria ,Elimu ya jamii,Maendeleo yo jamii,Usimamizi. wa fedha,Uchumi na mipango kutoka chuo kinachotambuliwa na serikaliKAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KATAi. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao na kuwa mlinzi wa amani katika kata;ii. Katibu wa kamati ya Maendeleo ya Kataiii. Kumwakilisha Mkurugenzi wa Halmashsuri katika utekelezaji na usimamizi washughuli za maendeleo katika kataiv. Kuandaa mpango kazi wa maendeleo yo kata na kuwasilisha kwa mkurugenzi wa halmashauri kupitia kwa afisa torafav. Mtendaji mkuu wa kata na ni kiungo cha uongozi kwa idara zote kwenye katavi. Mhamasishaji wa umma katika mikakati yo uzalishaji mali kuon njaa naumaskinivii. Mratibu na msimamiziwa upangaji wa mipango shirikishi ya maendeleo ya kataviii. Kukuza na kuhimiza uanzishwaji wa vyombo vyaushirika na" shughuli nyingine za maendeleo katika ngazi ya kataix. Kuandaa na kupendekeza maoni ya kutengeneza sheria ndogo na kuyawasilisha katika halmashauri ya wilaya ya mjix. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera sheria na kanuniUtaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa4. Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III -nafasi 10Awe na elimu ya Kidato channe (IV) au Sita (VI), awe na Cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo wa fani za Utunzaji kumbukumbu.Kazi atakazafanya:• Kuandaa na kutunza (Maintain) utaratibu upatikanaji kumbukumbu/ nyaraka/taarifa• Kutafuta mafaili/kumbukumbu• Kukusanya na kuhifadhi taarifa/kumbukumbu• Kazi hizi atazifanya kwa maelekezo ya wataalam wa kumbukumbu walio juu yako.Utaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa5. Katibu Mahsusi Daraja la III Ngazi ya Mshahara TGS B (nafasi 2)• Awe na Elimu yo kidato cha IV au VI• Elimu ya Kidato cha Nne(IV),• Awe amehudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu,• Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno BO kwa dakika moja,• Awe amepata mafunzo ya Komputa kutoka Chuo chochote kinachotambulikana Serikali na Kupata Cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email no Publisher,MAJUKUMUi. Kuchapa barua, taarifa no nyaraka za kawaida.ii. Kusaidia kupokea Wageni na Kuwasaili shido zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa,iii. Kusaidia kutunza kumbukumbul taarifa za matukio, miadi, Wageni, tarehe za vikoo safari za Mkuu wake no ratiba yo kazi zingine zilizopagwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi no kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.iv. Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapoOfisini.v. Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu tarifa zozote atakazokuwa amepewa na wasaidizi hao. 'vi. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maafisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohuslka.vii. Kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.Utaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa6. Mlezi wa Watoto Msaidizi (Child Care Assistant) - TGS B Nafasi 4SifaKuajiriwa waliofaulu mafunzo yo maarifa ya nyumbani (Home craft Management) au mafunzo yanayofanana na hayo, au wenye cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo yo Ustawi wa Jamii.Kazi na majukumu• Kulea Watoto katika Vituo vya Kulelea Watoto Mchana• Kutoa mafunzo kwa akina mama juu yo malezi bora ya watoto wadogo.• Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto vijjijini/ sehemu au eneo la kituo.• Kuwa kiongozi wa kituo cha kulelea watoto.Utaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa7. Fundi Sanifu Msaidizi (Umeme) Nafasi 2 TGS BSifa za kuajiriwa• Awe no Elimu yo kidato cha IV• Awe no astashahada yo ufundi umeme katika fani yo ufundi umeme kutoka kotiko chuo kinachotambuliwa no serikaliMAJUKUMU• Kufanya matengezeno ya umeme katika Majengo yo Halmashauri• Kukagua majengo yote ili kubaini kama kuna tatizo la kuvuja umeme• Kufanya matengenezo ya miundo mbinu ya umemeUtaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi 6th August 2015============HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORANAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora anawatangazia wananchi wote wenye sifa kama zifuatavyo nafasi zinazoombwa8. Muuguzi Daraja La II . TGHS A nafasi 1(a) Sifa za kuajiriwaKuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa no Serikali no kuandikishwa (Enrolled) no Baraza 10 Wauguzi no Wakunga Tanzania.(b) Kazi na Majukumui. Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katikajamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya.ii. Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake yo kaziiii. Kukusanya takwimu nokutayarisha taarifa za utendaji wake wa kaziiv. Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani. (v) Kutoa ushauri nasahav. Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango (vii) Kutoa huduma za uzozi no afya yo mottovi. Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya (ix) Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yoke ya kazivii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusianana elimu, uzoefu na ujuzi wakeUtaratibu wa Kuomba:• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)• Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)• Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)• Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.• Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015.• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-Mkurugenzi,Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.S.LP 174,TABORA.Sipara LianaMkurugenzi wa Manispaa TaboraSource; Mwananchi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni