NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI TUMA MAOMBI KABLA YA TAR 18 AGOSTI 2015font sizePrintEmailHALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGITANGAZO LA NAFASIZA KAZI(MARUDIO)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO1. NAFASI YA KAZI: MTENDAJI WA KIJIJI III (NAFASI 26)Sehemu: Halmashauri ya wilaya ya Ikungi- Singida.SIFA ZA MWOMBAJI:• Awe na Elimu ya Kidato cha Nne( IV) au Sita (VI)• AJiyehitimu mafunzo ya Astashahada/Stashahada katika moja ya fanizifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii, na sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au chuo chachote kinachotambuliwa na Serikali.KAZI NA MAJUKUMUKazi/Majukumu ya kufanya:a) Mtendaji Mkuu wa Serikali wa Kijiji.b) Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mati zao.c) Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo yakijiji.d) Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauriya kijiji.e) Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu.MSHAHARA:Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. BUTARATIBU WA UOMBAJI:• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma,Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanisheuthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani laTaifa (NECTA).• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuN.B; Maombi yote yatumwekwa anwani ifuatayo:-MKURUGENZI MfENDAJI (W),HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,S.L.P.42,SINGIDAMwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 AlasiriSource; Mwananchi 6th August 2015==========HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGITANGAZO LA NAFASIZA KAZI(MARUDIO)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO2. NAFASI YA KAZI; KATIBU MAHSUSI III – (NAFASI 05)SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya IkungiSIFA ZA MWOMBAJI• Awe wamehitimu wa kidato cha nne (IV)• Awe amehudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu• Awe amefaulu somo la HatiMkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja• Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email na PublisherKAZI NA MAJUKUMUa) Kuchapa barua , taarifana nyaraka za kawaidab) Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwac) Kusaidia kutunza taarifa /kumbukumbu za matukio, mladi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratibaya kazizingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake kwa wakati unaohitajikad) Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapoofisinie) Kusaidia kufikisha maelezo ya mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokua amepewa na wasaidizi haoMSHAHARA:Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. BUTARATIBU WA UOMBAJI:• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma,Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanisheuthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani laTaifa (NECTA).• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuN.B; Maombi yote yatumwekwa anwani ifuatayo:-MKURUGENZI MfENDAJI (W),HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,S.L.P.42,SINGIDAMwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 AlasiriSource; Mwananchi 6th August 2015==========HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGITANGAZO LA NAFASIZA KAZI(MARUDIO)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO3. NAFASI YA KAZI: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENTASSISTANT II) – (NAFASI 06)SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya IkungiSIFA ZA MWOMBAJI• Kuajiliwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita wenye cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na ArdhiKAZI NA MAJUKUMU• Kutafuta kumbukumbu/ nyaraka/ majalada yanayohitajiwa na wasomaji• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi• Kuweka/kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhiwa kumbukumbuMSHAHARA:Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. BUTARATIBU WA UOMBAJI:• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma,Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanisheuthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani laTaifa (NECTA).• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuN.B; Maombi yote yatumwekwa anwani ifuatayo:-MKURUGENZI MfENDAJI (W),HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,S.L.P.42,SINGIDAMwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 AlasiriSource; Mwananchi 6th August 2015==========HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGITANGAZO LA NAFASIZA KAZI(MARUDIO)MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGINAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO4. NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (OFFICEASSISTANT)- (NAFASI 5)SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya IkungiSIFA ZA MWOMBA.Jl:• Awe wamehitimu wa kidato eha nne (IV) na waliofauJu vizuri katika masomo ya kiingereza, kiswahili na Hisabati.KAZI/ MAJUKUMU YA MSAIDIZI WA OFISIa) Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vurnbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo.b) Kuchuka na kupeleka rnajalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.c) Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwad) .Kutayarisha chai ya ofisiMSHAHARAMshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A'UTARATIBU WA UOMBAJI:• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyotekwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma,Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanisheuthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani laTaifa (NECTA).• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simuN.B; Maombi yote yatumwekwa anwani ifuatayo:-MKURUGENZI MfENDAJI (W),HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,S.L.P.42,SINGIDAMwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 AlasiriSource; Mwananchi 6th August 2015==========
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni