

Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrasia na maendeleo chadema ndugu EDWARD LOWASA akizungumza na wanahabari mapema leo mara baada ya kurejesha Form na kiuwa mgombea rasmi wa uUais

Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha ADC CHIEF YEMBA akiwa na yeye amerejesha form hapa tume ya taifa ya uchaguzi

Hashimu Rungwe mgombea urais wa tiketi ya chama cha umma CHAUMA akiwa anawasili kurejesha form kwaajili ya kugombea Urais

Kutoka UPDP ni FAHMI DOVUTWA mwenyekiti akiwasili NEC


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni