other blog

Jumatano, 22 Julai 2015

Ana kwa ana na bi Sarah Obama


Huku Wakenya wanaposubiri kwa hamu
kuwasili kwa Rais wa Marekani, Barack
Obama, mnamo Ijumaa, jijini Nairobi ili
kufungua mkutano wa kimataifa wa
uwekezaji kuna wengi wanaojiuliza iwapo
atatembelea nyumbani alikozaliwa baba
yake katika kijiji cha Kogelo, Magharibi
mwa Kenya. Muliro Telewa alimtembelea
bibi yake, Mama Sarah Obama kujua
anavyojiandaa kumkaribisha mjukuu
wake maarufu Barack Obama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni