other blog

Jumatano, 22 Julai 2015

Khadija Kopa awatumbuiza mashabiki Uingereza


Wakati tunasherehekea Eid Ul Fitri kote
duniani, kwa wale waliosherehekea siku
ya Ijumaa na wale waliosherehekea siku
ya jumamosi, mbwembwe na shangwe ni
zile zile, Malkia wa Twaarab Afrika
Mashariki na Kati Khadija Kopa yuko
Uingereza kuwatumbuiza mashabiki wa
Modern twaarab wakati wa sherehe hizi
za Eid, ametutembelea studio zetu hapa
jijini London na mwenzangu Mariam
Omar amezungumza naye, kwanza
amemuuliza hii kolabo mpya amefanya
na msanii wa bongo Flava Diamond ina
maana anahamia katika maeneo hayo?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni