other blog

Alhamisi, 23 Julai 2015

Buhari: Marekani inawasaidia Boko Haram!


chini Marekani wiki hii
Marekani "inawasaidia na kuchochea
" kundi la wanamgambo wa kiislam
wa Boko Haram kwa kukataa kutoa
silaha kwa Nigeria, ni kauli ya rais wa
Nigeria Mahammadu Buhari.
Sheria ya Marekani inazuia serikali kuuza
silaha kwa nchi ambazo zinashindwa
kushughulikia ipasavyo masuala ya haki
za binadamu.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
alikutana na rais Barack Obama Jumatatu
kuomba msaada zaidi.
Boko Haram limewauwa watu 10,000
tangu mwaka 2009 na limewateka mamia
ya wasichana na wanawake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni