other blog

Jumatano, 22 Julai 2015

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MSALALA- KAHAMA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 30 JULAI 2015

HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya
Msalala-Kahama anapenda
kuwatangazia wote wananchi
wote wenye sifa kuomba nafasi
mbalimbali za kazi mbalimbali
kama ifuatavyo
KATIBU MUHTASI III (NAFASI
3)
Muombaji awe na sifa zifuatazo;
• Awe amahitimu kidato cha IV
• Awe amehudhuria mafunzo
ya uhazili na kufaulu mtihani wa
hatua ya tatu.
• awe amepata mafunzo ya
kompyuta kutoka chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali na
kupata cheti katika program za
windows, Microsoft Office,
Internet, E-mail na Publisher
KAZI NA MAJUKUMU
• Kuchapa barua , taarifa na
nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni na
kuwasikiliza shida zao na
kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa
• Kusaidia kutunza taarifa /
kumbukumbu za matukio, mladi,
wageni, tarehe za vikao, safari za
mkuu wake na ratibaya kazi
zingine zilizopangwa kutekelezwa
katika ofisi anamofanyia kazi na
kumuarifu mkuu wake kwa
wakati unaohitajika
• Kusaidia kupokea majalada,
kuyagawa kwa maofisa walio
katika sehemu alipo na
kuyakusanya, kuyatunza na
kuyarudisha sehemu
zinazohusika
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA
KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa
Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka
45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote
yaambatanishwa na nakala za
cheti cha kuhitimu taaluma ,
nakala ya cheti cha kidato cha
Nne/sita, maelezo binafsi
yanayojitoshereza (CV) ikiwa na
anuani, namba za simu za
kuaminika pamoja na majina ya
wadhamini (Referees) watatu na
picha mbili (Passport size) za hivi
karibuni (ziandikwe jina kwa
nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na
kidato cha Nne/Sita ni lazima
vithibitishwe na hakimu au wakili
anayetambulika na serikali.
Aidha uwasilishaji wa taarifa na
sifa za kughushi wahusika
watachukuliwa hatua kali za
kisheria
• Waombaji wote
waambatanishe nakala ya cheti
cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa
lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya
posta, maombi
yatakayowasilishwa kwa mkono
au barua pepe hayatafanyiwa
kazi
Maombi yote yatumwe kwa
anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA
MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE
30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH JULY
2015
============
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya
Msalala-Kahama anapenda
kuwatangazia wote wananchi
wote wenye sifa kuomba nafasi
mbalimbali za kazi mbalimbali
kama ifuatavyo
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU
DARAJA LA II (NAFASI 4)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
• Awe amehitimu kidato cha
Ne (IV) au Sita (VI)
• Awe amehitimu mafunzo ya
Cheti cha Utunzaji Kumbukumbu
• Awe na ujuzi wa kutumia
kompyuta
KAZI NA MAJUKUMU
• Kutafuta kumbukumbu/
nyaraka/mafaili yanayohitajiwa
na maafisa
• Kuthibiti upokeaji,
uandikishaji wa kumbukumbu/
nyaraka
• Kuchambua, kuorodhesha na
kupanga kumbukumbu/nyaraka
katika makundi kulingana na
somo husika (classification and
boxing) kwa ajili ya matumizi ya
ofisi
• Kuweka/kupanga
kumbukumbu/nyaraka katika
reki (file racks/cabinet) katika
masjala
• Kuweka kumbukumbu(barua/
nyaraka nk) katika mafaili
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA
KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa
Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka
45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote
yaambatanishwa na nakala za
cheti cha kuhitimu taaluma ,
nakala ya cheti cha kidato cha
Nne/sita, maelezo binafsi
yanayojitoshereza (CV) ikiwa na
anuani, namba za simu za
kuaminika pamoja na majina ya
wadhamini (Referees) watatu na
picha mbili (Passport size) za hivi
karibuni (ziandikwe jina kwa
nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na
kidato cha Nne/Sita ni lazima
vithibitishwe na hakimu au wakili
anayetambulika na serikali.
Aidha uwasilishaji wa taarifa na
sifa za kughushi wahusika
watachukuliwa hatua kali za
kisheria
• Waombaji wote
waambatanishe nakala ya cheti
cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa
lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya
posta, maombi
yatakayowasilishwa kwa mkono
au barua pepe hayatafanyiwa
kazi
Maombi yote yatumwe kwa
anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA
MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE
30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH JULY
2015
============
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya
Msalala-Kahama anapenda
kuwatangazia wote wananchi
wote wenye sifa kuomba nafasi
mbalimbali za kazi mbalimbali
kama ifuatavyo
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA
III(NAFASI 39)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
• Awe amehitimu kidato cha
Ne (IV) au Sita (VI)
• Awe amehitimu mafunzo ya
cheti/Astashahada katika moja ya
fani zifuatazo; Utawala, sheria,
Elimu ya Jamii, Usimamizi wa
Fedha, Maendeleo ya Jamii na
Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo
cha Serikali za Mitaa Hombolo,
Dodoma au Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU
• Utakua mhamasishaji wa
Umma katika mikakati
mbalimbali ya uzalishaji mali,
kuondoa njaa na umaskini
• Utakua mlinzi wa amani na
msimamizi wa utawala bora
katika kijiji
• Utaratibu na kusimamia
upangaji wa mipango shirikishi
ya maendeleo ya vijiji na
vitongoji
• Utatafsiri sera na kusimamia
utekelezaji wa sheria
ndogondogo katika kijiji
• Kusimamia utendaji kazi wa
wataalam na watendaji wengine
katika ngazi ya kijiji
• Kuratibu na kuandaa taarifa
za utekelezaji na kuziwasilisha
kwa mkurugenzi na nakala kwa
katibu tarafa
• Utakua msimamizi na mratibu
wa takwimu zote
zinazokusanywa katika vijiji na
vitongoji
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA
KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa
Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka
45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote
yaambatanishwa na nakala za
cheti cha kuhitimu taaluma ,
nakala ya cheti cha kidato cha
Nne/sita, maelezo binafsi
yanayojitoshereza (CV) ikiwa na
anuani, namba za simu za
kuaminika pamoja na majina ya
wadhamini (Referees) watatu na
picha mbili (Passport size) za hivi
karibuni (ziandikwe jina kwa
nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na
kidato cha Nne/Sita ni lazima
vithibitishwe na hakimu au wakili
anayetambulika na serikali.
Aidha uwasilishaji wa taarifa na
sifa za kughushi wahusika
watachukuliwa hatua kali za
kisheria
• Waombaji wote
waambatanishe nakala ya cheti
cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa
lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya
posta, maombi
yatakayowasilishwa kwa mkono
au barua pepe hayatafanyiwa
kazi
Maombi yote yatumwe kwa
anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA
MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE
30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH JULY
2015
============
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya
Msalala-Kahama anapenda
kuwatangazia wote wananchi
wote wenye sifa kuomba nafasi
mbalimbali za kazi mbalimbali
kama ifuatavyo
AFISA MAENDELEO YA JAMII
MSAIDIZI DARAJA LA II (NAFASI
5)
Muombaji awe na sifa zifiatazo
• Awe amehitimu kidato cha
Ne (IV)
• Awe amehitimu cheti cha
mafunzo ya miaka miwili katika
fani ya Maendeleo ya jamii
kutoka vyuo vya maendeleo ya
jamii ya Buhare na Rungemba au
vyuo vingine vinavyotambuliwa
na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
Maafisa Maendeleo ya Jamii
Wasaidizi watapangwa katika
ngazi ya kijiji/kata. Wakiwa huko
watafanya kazi zifuatazo
• Kuratibu shughuli zote za
Maendeleo ya jamii kwa
kuzingatia jinsia
• Kuraghibisha jamii kuanzia
ngazi ya familia katika kubuni,
kupanga, kutekeleza , kusimamia
na kutathmini mipanga na/au
miradi yao ya maendeleo
• Kuelimisha jamii juu ya
umuhimu wa kutoa taarifa za
matukio mbalimbali kama vifo,
milipuko ya magonjwa, masoko,
uzalishaji mali, vyakula, ajira na
unyanyasaji wa kijinsia
• Kukusanya, kuchambua na
kuweka takwimu zinazozingatia
jinsia zitakazowezesha jamii
kupanga mipango yao
• Kuhamasisha jamii
kuondokana na mila/desturi
potofu na kuwa na mtazamo wa
kupenda mabadiliko
• Kuhamasisha jamii kutumia
teknolojia rahisi na sahihi
Ngazi ya mshahara; TGS B
VIGEZO NA MASHARTI YA JUMLA
KWA WAOMBAJI
• mwaombaji awe raia wa
Tanzania
• awe na umri usiozidi miaka
45 na usiopungua miaka 18
• Maombi yote
yaambatanishwa na nakala za
cheti cha kuhitimu taaluma ,
nakala ya cheti cha kidato cha
Nne/sita, maelezo binafsi
yanayojitoshereza (CV) ikiwa na
anuani, namba za simu za
kuaminika pamoja na majina ya
wadhamini (Referees) watatu na
picha mbili (Passport size) za hivi
karibuni (ziandikwe jina kwa
nyuma)
• Vyeti vyote vya taaluma na
kidato cha Nne/Sita ni lazima
vithibitishwe na hakimu au wakili
anayetambulika na serikali.
Aidha uwasilishaji wa taarifa na
sifa za kughushi wahusika
watachukuliwa hatua kali za
kisheria
• Waombaji wote
waambatanishe nakala ya cheti
cha kuzaliwa
• Maombi yote yaandikwe kwa
lugha ya Kiswahili/Kiingereza
Barua zote zitumwe kwa njia ya
posta, maombi
yatakayowasilishwa kwa mkono
au barua pepe hayatafanyiwa
kazi
Maombi yote yatumwe kwa
anwani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDEJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MSALALA
S.L.P 16
KAHAMA
MWISHO WA KUPOKEA
MAOMBI NI ALHAMISI TAREHE
30/07/2015
SOURCE; NIPASHE 17TH JULY
2015
============


Posted by wasonga.. mrombo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni