other blog

Jumapili, 26 Julai 2015

Dzeko rasmi kuondoka manchester city..


Edin Dzeko
Kocha Mkuu wa Manchester City
Manuel Pellegrini amekubali kuwa
mshambuliaji wake Edin Dzeko
anaweza kuondoka kwenye klabu
hiyo.
Dzeko mwenye miaka 19 yupo pamoja na
kikosi cha Man City katika safari ya
maandalizi ya msimu mpya wa ligi huko
Australia na hakucheza wakati timu hiyo
ilipocheza na AC Roma ya Italia siku ya
jumanne.
Kuna taarifa Dzeko huenda anaweza
kuhamia kuchezea moja ya vilabu huko
nchini Italia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni