other blog

Alhamisi, 23 Julai 2015

Na katika sport Benteke ahamia rasmi Liverpool


Timu ya livepool imekamilisha
kumsajili rasmi mshambuliaji
mwenye asili ya Jamuhuri ya
Kidemokrasia wa kongo Christian
Benteke kutoka Aston Villa kwa kitita
paundi milion 32.5.
Benteke alikubali mkataba wa muda
mrefu na kuwa mchezaji wa pili
kununuliwa kwa gharama kubwa huko
England.
Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji
ameifunga magoli 49 katika mechi 101
alizocheza kwenye timu yake ya zamani
ya Aston Villa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni