other blog

Jumatano, 22 Julai 2015

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 31/07/2015

HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkrurgenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya Singida
anawatangazia wanachi wote
wenye sifa, kuomba nafasi za
kazi zifuatazo
1. MTENDAJI WA KIJIJI
DARAJA LA II- (NAFASI 29)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha
nn (iv) au sita (vi)
• Aliyehitimu mafunzo ya
Astashahada/cheti katika moja ya
fani zifuatazo; Utawala, Sheria,
Elimu ya Jamii, Usimamizi wa
fedha, Maendeleo ya jamii, na
sayansi ya sanaa kutoka chuo
cha serikali za mitaa Hombolo,
Dodoma, au chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kusimamia ulinzi na usalama
wa raia na mali zao
2. Kuratibu na kusimamia
upangaji wa utekelezaji wa
mipango ya maendeleo ya kijiji
3. Mtendaji mkuu wa serikali
ya kijiji
4. Katibu wa mikutano na
kamati zote za Halmashauri ya
kijiji
5. Kutafsiri na kusimamia sera,
sheria na taratibu
6. Kiongozi wa wakuu wa
vitengo vya kitaalamu katika kijiji
7. Kuandaa taarifa za utendaji
katika eneo lake na kuhamasisha
wananchi katika kuandaa na
kutekeleza uzalishaji mali
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni
TGS B kwa mwezi
UTARATIBU WA KUTUMA
MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia
wa Tanzania na wenye umri
usiozidi miaka 45
• Waombaji wote
waambatanishe na nakala za
vyeti vya elimu, taaluma, Cheti
cha kuzaliwa na picha ndogo
mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote
waambatanishe na maelezo
binafsi yaliyojitosheleza (detailed
CV) yenye anuani na namba za
simu
• Waombaji walio nje ya nchi
waambatanishe uthibitisho wav
yeti vyao kutoka baraza la
mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa
wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa
kwenye usaili watatakiwa waje
na vyeti halisi (orginal
Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa
anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za
maombi ni tarehe 31/07/2015
saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Source; Mwananchi 17th July
2015
==========
HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkrurgenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya Singida
anawatangazia wanachi wote
wenye sifa, kuomba nafasi za
kazi zifuatazo
2. KATIBU MAHUSUSI III
(NAFASI 3)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha
nn (iv)
• Awe amehudhuria mafunzo
ya uhazili na kufaulu mtihani wa
hatua ya tatu
• Awe amefaulu somo la
Hatimkato ya Kiswahili na
kiingereza maneno 80 kwa
dakika 1
• Awe amepata mafunzo ya
kompyuta kutoka chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali na
kupata cheti katika program za
Windows, Microsoft Office,
Internet, E-mail na Publisher
KAZI NA MAJUKUMU
• Kuchapa barua, taarifa na
nyaraka za kawaida
• Kupokea wageni na
kuwasikiliza shida zao na
kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa
• Kutunza taarifa/kumbukumbu
za matukio, miadi na ratiba ya
kazi nyingine
• Kupokea majalada, kuyagawa
kwa maofisa walio katika sehemu
alipo na kuyakusanya, kuyatunza
na kuyarudisha sehemu
zinazohusika
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni
TGS B kwa mwezi
UTARATIBU WA KUTUMA
MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia
wa Tanzania na wenye umri
usiozidi miaka 45
• Waombaji wote
waambatanishe na nakala za
vyeti vya elimu, taaluma, Cheti
cha kuzaliwa na picha ndogo
mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote
waambatanishe na maelezo
binafsi yaliyojitosheleza (detailed
CV) yenye anuani na namba za
simu
• Waombaji walio nje ya nchi
waambatanishe uthibitisho wav
yeti vyao kutoka baraza la
mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa
wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa
kwenye usaili watatakiwa waje
na vyeti halisi (orginal
Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa
anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za
maombi ni tarehe 31/07/2015
saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Source; Mwananchi 17th July
2015
==========
HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkrurgenzi mtendaji wa
halmashauri ya wilaya ya Singida
anawatangazia wanachi wote
wenye sifa, kuomba nafasi za
kazi zifuatazo
3. MSAIDIZI WA
KUMBUKUMBU II (NAFASI 2)
SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha
nn (iv) au sita (vi) na cheti cha
utunzaji kumbukumbu katika
mojawapo ya fani za Afya,
Masjala, Mahakama na Ardhi
KAZI NA MAJUKUMU
1. Kutafuta kumbukumbu/
nyaraka/majalada yanayohitajiwa
na wasomaji
2. Kuthibitisha upokeaji,
uandikishaji wa kumbukumbu au
nyaraka
3. Kuweka kumbukumbu
(barua/nyaraka) katika majalada
4. Kuweka/kupanga
kumbukumbu/nyaraka katika
reki (file racks/cabinet) katika
masjala au vyumba vya
kuhifadhia nyaraka
Mshahara
Ngazi ya mshahara wa serikali ni
TGS B kwa mwezi
UTARATIBU WA KUTUMA
MAOMBI
• Waombaji wote wawe ni raia
wa Tanzania na wenye umri
usiozidi miaka 45
• Waombaji wote
waambatanishe na nakala za
vyeti vya elimu, taaluma, Cheti
cha kuzaliwa na picha ndogo
mbili za rangi (passport size)
• Waombaji wote
waambatanishe na maelezo
binafsi yaliyojitosheleza (detailed
CV) yenye anuani na namba za
simu
• Waombaji walio nje ya nchi
waambatanishe uthibitisho wav
yeti vyao kutoka baraza la
mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji watakaokidhi sifa
wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa
kwenye usaili watatakiwa waje
na vyeti halisi (orginal
Certificate)
NB; maombi yote yatumwe kwa
anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA
SINGIDA
S.L.P 27
SINGIDA
Mwisho wa kupokea barua za
maombi ni tarehe 31/07/2015
saa tisa na nusu alasiri (9;30)
Source; Mwananchi 17th July
2015
==========

Posted by Wasonga mrombo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni